Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Stop looking for flimsy excuses. KDF are also in DRC under East African Community Regional Force and so far have made a lot of progress in restoring peace in eastern DRC than your army achieved under UN
Which progress mzee ambayo KDF inafanya?

Au kupiga selfie
 
Huwa anakuogopa kweli kweli, tangu umwambie huitaji mke wa pili basi hataki hata kukusikia [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
 
90% of it's international passengers are connecting to Tanzania 😂😂😂😂

 

Usitake kujitoa ufahamu hapa. Kibera ndio slum pekee Nairobi?
  • Dandora.
  • Mathare
  • Deep Sea.
  • Huruma.
  • Kangemi.
  • Kariobangi.
  • Kawangware.
  • Kiambiu.
  • Kiandutu.
Mentioned above are among many terrible slums located in Nairobi. Give us the size of each slum, and actual numbers of residents.
 

Umeona hizo zana za M23 zilizo haribiwa! Huwa ni nini kinawafanya wakunya waandike humu kuwa M23 wanatumia mapanga!
 
Ongezea pia na sifa hii; that shit airport leads in stealing passengers items
 
Mwenye uchumi mkubwa anamuogopa mwenye uchumi mdogo 😂😂😂

Tell me you fear me without showing your inferiority syndrome 🤣

Wakati wanaimport kutoka overseas hawakuona kama wana resources za fertilizers ila baada ya kuona Tanzania is their next potential supplier 🤣

 
Nyang'au wamepata mshtuko wa moyo baada ya kuona serikali yao inaagiza mbolea kutoka Tz , ha ha ha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…