Ikiwa dar 2012 ilikua na magari 1m nairobi by 2030 tena ni utabiri inaweza kufika au isifike 1.3m cars in nairobi hapa bado unataka tubishane nn 🤣🤣🤣🤣🤣 au ukiona jam kidogo na vile mji ulivokua mdogo basi unaona wana magari mengi tuulize sisi tuliotembea tukajioneaTakwimu ziko aina nyingi tumia hii ya countryeconomy.com
Ukiangalia hapo kwenye kipengele cha magari kwa watu 1000 unaweza ona tofautiView attachment 2507605View attachment 2507606
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Mm nakupa facts achana na ujinga wa comparison hata mm naeza tengeza comparison yangu nikaweka na kila mtu akaamini uongo 🤣🤣🤣 hii sio ile dunia ya uongo tena ni dunia ambayo hata mtoto wa miaka miwili huwez kumdanganyaSasa thibitisha Dar kuna magari mengi
Unajua linapokuja suala la uhalisia wa mambo mnakua na vigugumizi sana
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Haupo sawa we jamaa ..Magari Nairobi ni mengi kuliko dar, issue ya udogi wa eneo hapo haihusiki
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
We kumbe unapenda sana mizaha nilikua sijuiMm nakupa facts achana na ujinga wa comparison hata mm naeza tengeza comparison yangu nikaweka na kila mtu akaamini uongo [emoji1787][emoji1787][emoji1787] hii sio ile dunia ya uongo tena ni dunia ambayo hata mtoto wa miaka miwili huwez kumdanganya
Mm tena napenda mizaha 🤣🤣🤣 kenya nzima mpaka dec 2021 ina magari 2m wakat dar alone 2012 ina magari 1m hapo pia bado unahitaj ramli au 😆😆
Sema wew Jamaa ni mtu wa ajabu Sana....Magari Nairobi ni mengi kuliko dar, issue ya udogi wa eneo hapo haihusiki
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Nimeangalia comparison nimekuta ziko za kutosha google kila mtu anayake 🤣🤣
Ukweli hauna jinsi,Wewe amini unachoamini.Sema wew Jamaa ni mtu wa ajabu Sana....
Itakuwa Una tabia za kipekee....
I hope sio mwanaume.....maana huna msimamo
Kaka hiyo jamaa tuusan ni kama mwehu fulani.. au huenda labda haijui DAR kindakindaki.. Hivi imagine Dar yote ingekua ni Kinondoni district alone (same size to NAIROBI) hiyo kino yenyewe ilivyo na foleni hadi uko bunju, halafu gari zote Dar ndio zingekua zinakaa kino 🤣🤣🤣 hiyo foleni yake ingekua labda ni MumbaiUdogo wa eneo lazima uhusike kwann usihusike nairobi ni ndogo mara tatu kwa dar so hapo utasemaje udogo wa eneo haungaliwi? Inside 690km sq kuna mapori na national park ya nairobi je dar kuna mapori?? 🤣🤣🤣
We jamaa unaijua DAR.?Ukweli hauna jinsi,Wewe amini unachoamini.
Mimi nitasimama na ukweli wa mambo hata nikibaki peke yangu
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
We jamaa unaijua DAR.?Ukweli hauna jinsi,Wewe amini unachoamini.
Mimi nitasimama na ukweli wa mambo hata nikibaki peke yangu
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Napafahamu vizuri sana ,uliza swaliWe jamaa unaijua DAR.?
Ww baki pekeako hakuna mtu atakuzuia lakini facts ndio hzo hazitabadilika 🤣🤣🤣Ukweli hauna jinsi,Wewe amini unachoamini.
Mimi nitasimama na ukweli wa mambo hata nikibaki peke yangu
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Hata maji yakituama baada ya mvua kidogo itaonekana imenyesha sana kumbe drainage system mbovu.Nairobi magari ni mengi sana
Kutokana na kutokua na usafiri mzuri wa public option iliobaki ni kila mtu kwenda na gari yake mjini..Matokeo ndio heavy traffic jams
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Unaujua ukubwa wa Kinondoni district.?
Denial haitakusadia kijanaWe jamaa unaijua DAR.? View attachment 2507648hizo barabara zote zinakua na foleni, hadi vichochoroni uko.? Au mzee unasumbuliwa na kasumba.?
Unataka kunifunza Geography AuUnaujua ukubwa wa Kinondoni district.?
FYI just under 1/2 of Dar is not built up. Yani ni ushagooKaka hiyo jamaa tuusan ni kama mwehu fulani.. au huenda labda haijui DAR kindakindaki.. Hivi imagine Dar yote ingekua ni Kinondoni district alone (same size to NAIROBI) hiyo kino yenyewe ilivyo na foleni hadi uko bunju, halafu gari zote Dar ndio zingekua zinakaa kino 🤣🤣🤣 hiyo foleni yake ingekua labda ni Mumbai
Facts sindio hamzitaki nyie au unazungumzia facts gani apaWw baki pekeako hakuna mtu atakuzuia lakini facts ndio hzo hazitabadilika [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Huwa unatembeaga.? Unafanya kazi wapiDenial haitakusadia kijana
Nimekaa sana hapo makumbusho karibu kabisa na kanisa la KKKT nikahamia Makongo juu, ukiniambia sipafahamu Dar utakua unatafuta maneno tu,
Sasa mnavyonishambulia kwa maneno makali ndio ilo mshinde hoja ?
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app