Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kuna jamaa ka post picha akikata tiketi ya Basi Kwa simu... Ameweka ka Itel cha toleo la nyuma sana [emoji23][emoji23]
Wazee wa A.V.R mnatisha [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Enhh mutaniua manake sio kwa chuki hzo [emoji1787][emoji1787]
Ichogal wacha nikuambie tu ukweli, reasoning yako na kondoo hakuna tofauti[emoji23][emoji23][emoji23] wewe unakaa wale waswahili wambea tu, domo domo with zero facts, msengenyaji 101[emoji23][emoji23]
 
Mbona hueleweki, ikija upande wa kuzidiwa GDP unajitetea lkn hapo hapo unasema ni takwimu za zamani, wallahi nyie ni misukule kweli kweli.
 
Aisee...kumbe mko wengi hivyo?

Yaan kenya mnatukaribia kwa population? Mko 50m?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…