Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hii link uliyoweka inasema kwamba Uganda na Kenya zimeomba mkopo wa kujenga SGR zao toka China, Tanzania toka Uturuki
1)Je Uganda ilipata hiyo pesa?
2)Tanzania ilipata hiyo pesa?

Tunaomba ushahidi
 
Zikitumwa picha za shenzhen huku alafu unakuja kutuma picha za Nairobi ama dar nabaki nikicheka tu apa...sisi tuko dunia ya wapi kwan[emoji23][emoji23]

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Ni kama baada ya kula nanasi halafu unywe maji 🤣🤣.. hizi maneno sijui ultra modern facity, sijui world class what not.. me naona tuachane nazo tu 🤣🤣.. Africa tuko na safari ndefu sana asee
 
Hii link uliyoweka inasema kwamba Uganda na Kenya zimeomba mkopo wa kujenga SGR zao toka Kenya, Tanzania toka Uturuki
1)Je Uganda ilipata hiyo pesa?
2)Tanzania ilipata hiyo pesa?

Tunaomba ushahidi
Mibongolala kwa kukana mambo hamjambo! Yani unakataa kwamba Turkey didn't give your government a loan to finance your sgr while there are thousands of news on the internet about that deal? Kudeal na mtanganyika ni kazi kweli!
 
Ni kama baada ya kula nanasi halafu unywe maji [emoji1787][emoji1787].. hizi maneno sijui ultra modern facity, sijui world class what not.. me naona tuachane nazo tu [emoji1787][emoji1787].. Africa tuko na safari ndefu sana asee

Hahahahah dah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…