Nchi za Asia ambayo zimeendelea zaidi ni Japan na South KoreaGermans wanauza machine za kutengeneza Machines [emoji16][emoji16][emoji16]
Hebu angalia hiyo BMW Factory ya Germany,
Halafu wanakuja wajinga wanasema kuna nchi za Asia zina technology kushinda Germany, Leave alone US.
Mtu akianza kuwaita wengine wajinga huwa naanza kumtilia wasi wasi. Je anataka tujadiliane au anataka tumwogope kwamba atatuita wajinga?Germans wanauza machine za kutengeneza Machines [emoji16][emoji16][emoji16]
Hebu angalia hiyo BMW Factory ya Germany,
Halafu wanakuja wajinga wanasema kuna nchi za Asia zina technology kushinda Germany, Leave alone US.
Hakuna mtu anakataa kama europe ina technology au usa lakini china ndio imekua mpinzani mkuu kwa dunia ya sasa hvi kwenye technology hata leo ukiangalia ukiangalia dunia ya sasa hao wazungu wenyewe wanawahofia sana wachina kwenye technolgy ya leo naya kesho pia angalia makampuni mengi sana europe na america kwa sasa yamehamisha biashara china na yote sio tu sababu ya cheap labour bali na technology piaGermans wanauza machine za kutengeneza Machines [emoji16][emoji16][emoji16]
Hebu angalia hiyo BMW Factory ya Germany,
Halafu wanakuja wajinga wanasema kuna nchi za Asia zina technology kushinda Germany, Leave alone US.
Nashindwa kuwaelewa kabisa. Mnasema German ndiyo yupo juu lakini nashangaa kwanini yeye hana maglev train?Nchi za Asia ambayo zimeendelea zaidi ni Japan na South Korea
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Halafu nashangaa kwanini hao Wajeruman hawana Space Station lakini wachina wamejenga?Hakuna mtu anakataa kama europe ina technology au usa lakini china ndio imekua mpinzani mkuu kwa dunia ya sasa hvi kwenye technology hata leo ukiangalia ukiangalia dunia ya sasa hao wazungu wenyewe wanawahofia sana wachina kwenye technolgy ya leo naya kesho pia angalia makampuni mengi sana europe na america kwa sasa yamehamisha biashara china na yote sio tu sababu ya cheap labour bali na technology pia
Mtu akianza kuwaita wengine wajinga huwa naanza kumtilia wasi wasi. Je anataka tujadiliane au anataka tumwogope kwamba atatuita wajinga?
Hao wote uliowataja hawana Space Station lakini china anayo inaitwaNchi za Asia ambayo zimeendelea zaidi ni Japan na South Korea
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Technology siyo magari pekee. Lakini mimi nashangaa kwanini hao wajerumani na teknolojia yao wameshindwa kwenda angani lakini china kajenga Space Station. Je, hiyo technology imekuwaje?Ujinga sio tusi, ni Kukosa elimu, au kutokujua mambo,
Cheki hii BMW factory ya Germany,
Ujinga sio tusi, ni Kukosa elimu, au kutokujua mambo,
Cheki hii BMW factory ya Germany,
Wew jamaa unapelekeshwa na propaganda za wamagharibi...Nchi za Asia ambayo zimeendelea zaidi ni Japan na South Korea
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Tunasema ama ndio uhalisia?Nashindwa kuwaelewa kabisa. Mnasema German ndiyo yupo juu lakini nashangaa kwanini yeye hana maglev train?
Lakini uhalisia huo unashindwa kuwa proved kwenye real world. China wapo na Space Station lakini German hawana.
Na 5th gen fighter jet ziko nchi tatu tuLakini uhalisia huo unashindwa kuwa proved kwenye real world. China wapo na Space Station lakini German hawana.
China wanatengeneza Modern Fighter jet lakini Ujerumani hawana
J20
Halafu bado watu wanalalamika china yupo nyuma. Hii sijui ni nini. Sijui uchawi au wamelishwa libwata na wazungu.Na 5th gen fighter jet ziko nchi tatu tu
Sukhoi su57 russia
F22 raptor usa
J20 china