Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

kenyan movies ere just off the chain
kwanini tv station za kenya zinaonyesha zaidi movie za kinijeria na sio movie za kenya?.

huwa naliona hilo kupitia citizen tv na k24.sijawahi ona zikionyesha movie za kenya...kila siku wanaonyesha za wanaijeria.

NB:
mimi sio shabiki wa bongo movies ila hizi ni trailer za baadhi ya movie za kibongo nilizowahi kuzitazama na zikanivutia.
 
lol....mmejaribu lakini hizo tea plantations zenu are nowhere near kericho or Limuru. .....picha mtapata.

Kenya has numerous tea zones
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…