Sasa just imagine 690km sq ndani yake kuna nairobi national park ndani yake kuna forest za maana na bado kuna population ya over 5m nairobi ndio hapo unajiuliza kwann slums za dunia zisiwepo nairobi kwa hali hio na hayo mapori ni mali ya politicians🤣🤣Ndani ya City kunakuwa na milio ya mafisi
Ndiyo maana mm huwa nakaita ka Nairobi, kamji kadogooo ukiinuka juu kdg tu kila kitu kinaonekana mpk ma slums [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sasa just imagine 690km sq ndani yake kuna nairobi national park ndani yake kuna forest za maana na bado kuna population ya over 5m nairobi ndio hapo unajiuliza kwann slums za dunia zisiwepo nairobi kwa hali hio na hayo mapori ni mali ya politicians[emoji1787][emoji1787]
Jina jipya la Nairobi ni City of Hyenas Jungle (COHJ)...................and pigeon coos.
Fisi mbona huwaoneshi? Sauti ya mafisi huwa inasikika mida ipi?
Garden of eden hii...Ndani ya City kunakuwa na milio ya mafisi
Hebu tuoneshe matunda tuyaone. Maana naona miti ya kuni tu.Garden of eden hii...
Life is bearable in Tz ndio maana wakija huku hawarudi kwao.Bei ya mayai crate tz ni 6800 sawa na ksh360 ila kwao wanauziwa 580 mumaeza ona tofaut ilivo kubwa sana [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Usijali tutawapa preferential treatment kwenye hilo sisi ndugu moja.Mkituuzia pia tunanunua tu, pesa tunayo. Hata kwa sasa tunanunua umeme kutoka Ethiopia
Hebu tuoneshe matunda tuyaone. Maana naona miti ya kuni tu.
Mbona mmekuwa mkihoji kuhusu uchafu na matakataka ya Nairobi kwa muda mrefu tuu Serikali imefanya nini. Uchafu bado uko palepale tuu.Kama kuna kitu wakenya huchukulia serious ni right to information. On the same breath, sisi pia hatuogopi kuuliza maswali where certain things don't add up. If Kenyans feel something is amiss they'll push the government or whoever is responsible to the wall until it comes out clean. People literally "bullied" President Uhuru kwa Twitter hadi akatii. Wabongo ni waoga sana no matter serikali yao huwachezea akili itakavyo
Pwahahahaha Weka miti ya matunda mdogo wangu. Halafu picha hiyo inapatikana hapa:-