Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

😂😂😂 Sasa mbona ni kama Magufuli hajafa sababu biashara za wakenya bado zinakula shubiri na joto ya jiwe wakati mama wa reconciliation alishasema vikwazo na wakenya kamaliza vyote? 😂 Sio wewe ulianzisha uzi kumpa kongole kwamba saivi ni mwendo wa kudemka tu sukumagang imeyeyuka? 😂
 
kitu kimoja ninachofurahia kuhusu forum huu ni kwamba imenifunza kuzungumza kiswahili kwa kila mara...wakenya wengi hujifunza kiswahili shuleni ila wakimaliza shule ya sekondari wanazungumza kiswahili kisicho sahihi/sheng...
 

Huyo Mkenya alipaswa kuwapiga kimya kimya, kosa lilikua lake kuwanyanyasa nyie walalahoi wa kawaida, hapo simuungi mkono pia, hiyo nchi madini yote hayo na mapori yote inapaswa kuliwa bila kusababisha makelele, sikujua mnapigwa hadi kwenye majani chai.
 
Ndio mjue sasa Tz ni tajiri sn, huwa nawaambia wenzako humu na wanabisha kwamba uchumi halisi wa Tz ni $150b nadhani sasa wataamini mana umeongea wewe mme wao watakuelewa.

Nchi inapigwa kila angle lkn husikii watu kufa njaa wala tabu yoyote na mamiradi makubwa makubwa yanafanyika tu bila tabu yoyote. Nyie kanchi kenu mlijaribu kuiga matokeo yake mnakufa njaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Sasa nyinyi wapuuzi tukiwaambia magufuli alikua amekufa mlikua mnadhani ako ofisini na mafiles, a bunch of denialism halfwits [emoji23][emoji23]
Waliambiwa anachapa kazi, while the dude was already dead! Mibongolaa bana! 😃
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…