Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

MK254 aisee Magufuli huyu mbaya anawaonea wakenya wivu dah 😂😂😂😂😂😂

Wakenya bana, juzi hapa ulikua unalialia kuhusu aliyekua anawapiga kwenye maparachichi, sasa leo umeibuka na mwingine anawapiga kwenye majani chai, huu ni ujasiri ambao siuwezi mimi....jamaa majasiri balaa.

Sema huyu anayewapiga kwenye majani chai naye angejua namna ya kula na kipofu, angezuia attention kwa kulipa hao Watanzania walalahoi mafao yao, avoid attention, endelea kutafuna hilo shamba la bibi bila kusababisha makelele na matukio, angeiga namna Wahindi na Waarabu na Wachna na hata Wasouth Afrika hufanya hapo Bongo, unajichukulia kimya kimya...
 
Unaandika stori ndefu sana mwanangu.
 
Ours is a free economy anyone can invest in Tz even Kenyans are welcome sio kama nyie ambao ni ma protectionists kuanzia wenyewe kwa wenyewe due to ukabila mpaka kwa foreigners.

Tunakumbuka vizuri sana figusu mlizo fanya kwa South African breweries Thika plant, Fastjet na hata Rostam alipotaka kujenga gas filling plant in Mombasa.
 

Kwenye madini tu ndio Wasouth wametuwahi, na huko tungepiga, haipaswi mliwe na Wahindi, Waarabu na Wachina ila sisi tuambulie, lazima tupate mwanya. Huko yaani kila mtu anapiga, nimesoma sehemu nikajichekea sana kwamba mna chuo sijui Butiama huko hakijawahi kuwa na mwanafunzi hata mmoja ila kiapewa ruzuku kwa miaka 13.... aki ya nani usipotajirika hiyo nchi umelaaniwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…