Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Umeishiwa sera mdogo wangu. Huko tulishatoka miaka mingi mno. Tafuta picha za 2023 achana na hiyo 2012 ilishapita.
Aliyeishiwa ni wewe mwenye huna jibu, ulichobakisha ni kutapatapa tu. Nimekuuliza hivi: 2012 mlikuwa na brt? Ndio au la
 
Wakuu hebu tuweni serious kdg, hivi mtu unawezaje kuishi hapa [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Sasa kama ni jangwa mbona wanajitapa kuongoza kwenye uzalichaji wa mazao ya biashara kama: Parachichi, Chai, Kahawa, maua, Mirungi?

Hayo mazao wanalimia wapi?

Facts ni kuwa, Kenye ni nchi ya hovyo na ardhi ya rutuba wanalimia mazao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…