Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

This tiny gated community imechoka.
Gated community ya Tz ni ya gharama, no wonder Dar real estate inaizidi ka Nairobi kwa $3b, sio maneno yangu ni maneno ya World Bank na sasa najua gap litakuwa limeongezeka maradufu mana hamjengi mpya ni zile zile za mwaka 70 mnaonesha humu kila kukicha [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Nawakeraaaaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Tatizo ka Nairobi kadogo sn ndio maana imeachwa mbali na Dar kwa real estate, wanakuambia wana CBD tatu alafu wakionesha hivyo vi CBD vinaonekana vyote, yn sehemu kukiwa na vi ghorofa viwili vitatu basi kwao ni CBD tayari [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Wacha ujuaji wewe nchi zilizoendelea wakulima hawazidi 100,000 ! Sasa unaamaanisha nini peasant agriculture tu inaweza kutukwamua watu zaidi ya milioni 60! Sekta zote za Huduma na uzalishaji zinahitajika as diversified economy is needed!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…