Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

mnaweza kuongoza kwa muziki...hatuna shida nanyi hapo...sisi twataka kuongoza kiuchumi...mtuburudishe tu tunapofanya kazi kuongoza ukanda huu kiuchumi...hata Congo leads in Lingala ila waone walipo kiuchumi...
punguza hasira...inaonekana roho inakuuma sana kwa diamond kufanya collabo na ross.
 
rick ross kashajidharau...sasa huyu ni mtu wa kumpea collabo...kumbuka jinsi alivowaaibisha Morgan Heritage kwa wimbo uchwara...lakini ile collabo ya NEYO ndio alijikaza angalau.....very good song...
huna jambo ......wewe. bora ukae kimya[emoji15] [emoji13] [emoji13]
 
pongezi au kejeli...tunakujua ww
kwani hua sitoi pongezi kwa wakenya?...mbona mara nyingi tu huwa napigia makofi post zenu,au huwa huzioni?.
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Afrika kwa sasa naona ni Nigerian artists kama Wizkid ndio wanaweza kupewa collabo kubwa kubwa kama hizi...Diamond anamshushia Ross hadhi kwa hili...Ross ni international superstar mobna anataka kujishusha hadhi kiasi hiki?
hadhi gani anayojishusha...?..punguza kutoa matope.....diamond ni msanii mkubwa kwa sasa...
 
hadhi gani anayojishusha...?..punguza kutoa matope.....diamond ni msanii mkubwa kwa sasa...
msanii chokoraa...nakubaliana nawe. ..afrika kama si wizkid ni Ice prince ama waafrika kusini na wa nigeria wengine...sio machokoraa wa Bongo...heri useme Ali Kiba lakini si huyu jamaa...
 
King Kiba forever... Diamond=chokoraa...huwa anaimba upuuzi huyu jamaa..hana variety..style moja tu miaka nenda miaka rudi...
 
kwani hua sitoi pongezi kwa wakenya?...mbona mara nyingi tu huwa napigia makofi post zenu,au huwa huzioni?.
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
yaani unavo behave nikama fisi amevaa ngozi ya kondoo... uta post picha za Kibera muda mfupi...
 
Game linachange, wajanja wachache wanabaki kwenye game, especially wale wanaochange kadiri game linavyochange,
Wale sauti Sol walikuwa na copy and paste sana, (too much Ctrl C Ctrl V,) milage yao ilikuwa fupi sana.
Wasingetoboa,
hawakuwa original na tatizo kubwa la wasanii wakikenya wengi hawana uoriginal.....vitu wanavyofanya vishafanywa sana na wanyamwezi...na raia wengine so sisi watz tunaitumia lugha yetu ipasavyo na kwamtindo wetu huu ea midundo ya bongo flavour na kugusia midundo ya nnje kidogo sana
 
Kwenye Music industry Africa sasa hivi ni
1.Nigeria
2.RSA
3.Tanzania.
tupo namba2 hapo.....kipindi cha nyuma sana kwa upande wa hiphop tulikuwa namba1 na ilitubeba because we have our own music na watunz bora kwa flow
 
mnaweza kuongoza kwa muziki...hatuna shida nanyi hapo...sisi twataka kuongoza kiuchumi...mtuburudishe tu tunapofanya kazi kuongoza ukanda huu kiuchumi...hata Congo leads in Lingala ila waone walipo kiuchumi...
Mbona tushanyakua hiyo nafasi, bado hujaelewa tu msee?
 
pole kama umeumia...lakini mi sioni kama Ross ni level ya huyu jamaa...nikama mtoto wa nursery anacheza na wanafunzi wa chuo kikuu...
ndiyo maana nakuambia huna jambo bora utafute shughuli za kufanya upike vitumbua ama endelea kupost cbd za hapo nairobi....mpaka uzee wako[emoji13] [emoji13] [emoji30] [emoji30]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…