Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Leo umeamua kuwashika pabaya,sasa wako wanamlaumu Mwaisa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hivi Mwaisa ni nani [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hivi Mwaisa ni nani [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yaani me huwa ninaona wanakitumia kama mshangao fulani hivi, sasa sijui alikuwa ni mpenzi wa mtu au vipi, kama Amida alivyokuwa juu.au fundi maiko mzee wa kuharibu kwenye ujenzi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…