Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nyie hampati mafuta ndiyo maana mko weusi na mmekakamaa kama mkaa, hata wewe hizi comment zako unaonekana kabisa uko hovyo sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Tafuta nguvu za kiume mjukuu wacha kujitoa ufahamu na excuse uchwara😂 😂 😂 😂 😂 😂 ..,
kisha jichunge sana mjukuu baada ya masaa 52 zinazokuja isikue ni wewe👇.., nakuombea uepuke😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Outside Mombasa CBD.., Mombasa iko na ghorofa nyingi than Dar is slum, kwanza ikija upande wa makazi....,

Maeneo ya Nyali..,
View attachment 2484688
View attachment 2484690
Bamburi..,
View attachment 2484697
View attachment 2484698
Hakuna mtu atakulaumu ndio ubongo ulipokomea 🤣🤣🤣🤣 unless hakuna mtu haijui mombasa
 
Iyo picha kipindi inapigwa hadi leo bado mombasa haijafika level iyo?ni aibu kiasi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…