Mashashola
JF-Expert Member
- Feb 23, 2020
- 4,395
- 5,810
Yani kama Juba vileTunaposema classic huwa tunamaanisha hiki kitu hapa yn huwezi kukutana na mchanga, yani panakaa ulaya, huku ndipo Watz tunapoelekea, hakuna road inakaa hivi Kundustan [emoji116][emoji116]View attachment 2483536
Kaumia [emoji3516][emoji3516][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Yani kama Juba vile
Hizi ni propaganda za baadhi ya wana CCM katika harakati za kumnanga Magufuli kwa wananchi. Hizo ndege ni mpya na kama zinahitilaf company waliotengeneza wasinge kaa kimya.Haya mandege nayo yatakuwa ni mitumba iliyokarabatiwa tuu kama mabehewa ya Sgr.
Kila siku ni gereji 👇
Behewa ni mpya wewe. Behewa secondhand ni behewa za ghorofa toka Germany.Mabehewa ya Sgr tuliambiwaje?
Achana nae. Ni mpumbavu wa kupindukia, sijui amesoma shule gani.Jamaa ni mpinzani wetu. Namtafutia dawa yake.
Huwezi kuta comments nyingi kwenye post kama hii kwa sababu ya wivu na umimi wa hawa wa-njaa-njaa.Tanzania, the Kenya's benchmarki
Kwa hiyo unabishana na serikali au? Unaelewa maana ya mtumba uliokarabatiwa Kwa 80% ?Behewa ni mpya wewe. Behewa secondhand ni behewa za ghorofa toka Germany.
Unakichaa wewe. Lete hapa matamshi ya serikali.Kwa hiyo unabishana na serikali au? Unaelewa maana ya mtumba uliokarabatiwa Kwa 80% ?
Kukimbia ukweli kutakusaidia nini wewe na serikali imesema ni mtumba uliokarabatiwa?
Shaka Zulu.....New cabinet soon [emoji102]
Sikiliza kuanzia Katikati kuelekea mwisho kama hakuna used hapo 👇Unakichaa wewe. Lete hapa matamshi ya serikali.
Haha kaa chonjo. Japo Samia yupo Switzerland saizShaka Zulu.....
NDINDA Eti hii ndio wanalinganisha na ile city ina ghorofa TATU?🤔😅