Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sawa ni option ya baadae, lkn hapo lengo lao naona ni Malaba to Kampala to Kasese to (kuelekea) DRC. Bado Tanzania tunafeli
Tz tukishajenga rail to Burundi Rwanda na Congo Uganda hana choice zaidi ya ku join walio wengi maana sgr zote hizi na assume zitakuwa na specs kama za Tz. Hence Kenya will be a lone kid on the block with incompatible rail network.
 
Na mimi nikasema Tanzania haina influence kwa hilo suala la SGR kama tunavyodhani haswa ukiangalia sera za serikali ya Museveni kwa ukanda huu na hata moja ya sababu kuu ya Uganda na Rwanda kuvutana ni baada ya Rwanda kuonyesha muelekeo wa kuunganisha reli yake na Tanzania! Museveni ni old school hapendi kuweka mayai yote kapu moja na anapenda kuendelea kuwa regional kingpin! Na nikasema dawa ni reli kuja kufika Mtukula kwa vile bado tutagawana mzigo na Kundustan pia kujenga wagon na tanker za kutosha Lake Victoria! Halafu nikasisitiza Kenyan media NMG kutoaminiwa nikasema New Vision au GoU gazette ndo kitu naweza amini! sasa unavyoweka map ya Kasese unadhani sijui iko wapi? 😳😀
 
do u think with the likes of IamLee, Teargass, Nicxie, Don YF n Mashashola u can have useful discussion in here?
 
You guys talk as If Tz is the last country to build electric SGR. Kila kitu ni work on progress. Remember even Kenya Sgr got provisions to be electrified in the future. We don't know when but that day is around the corridor
 
Yes but in the mean time what option would you have chosen asume you wear Uganda's shoes.
 
You guys talk as If Tz is the last country to build electric SGR. Kila kitu ni work on progress. Remember even Kenya Sgr got provisions to be electrified in the future. We don't know when but that day is around the corridor
Even if it is electrified the rail cannot support speeds above 80kph for cargo and 120kph for pasengers unless ufumue reli yote uanze upya.
 
You guys talk as If Tz is the last country to build electric SGR. Kila kitu ni work on progress. Remember even Kenya Sgr got provisions to be electrified in the future. We don't know when but that day is around the corridor
aawapii kumbuka mlishasainisha tender in 2018! u better be quiet...!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…