Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Vijumba vitatu ndio ufananishe na New CBD unaumwa Mavi wewe [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2479384
New CBD eti? mjukuu kama hii ni CBD in Dar basi akina Parklands, Eastleigh na Kilimani nazo zitakua ni CBD rasmi, kwa vile ni zaidi ya hakaπŸ‘‡πŸ‘‡ ka shopping centre unaita CBD mpya, so Nairobi itakua na CBD sita(6) !!πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚

linganisha pole pole..,

Parklands CBD.,


Kilimani CBD




Eestleigh CBD..,
yaani hiiπŸ‘‡πŸ‘‡ ingekua ni Dar tayari ni CBD ama vipi? ungekua unatamba nayo eti density The best 007 mko down sanaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚



NB: Hapa hakuna Westlands, UpperHill na old CBD!!!
 
Kwani leo mko na slums tena?! πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Hiyo 41% imetoka wapi na kila siku tunaambiwa Tanzania hakuna slums? Enyewe siku ya nyani kufa kila mti huteleza
Ukiongezea wale wa uswazi ina maana wote wanaishi maisha duni, unajua hapa haija hesabiwa kama slums, sasa fanya hesabu ya hawa mifukara πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Hizi ndio ukubwa wa Dar πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ .., population na makazi...,




 
Hii ni one of the place naipenda kutoka Nairobi
Though it has been taken over by what I would call conmen. And no, not the ordinary conmen you think of. They are called wash wash guys. Here you will find fuel guzzlers and top of the range cars driven by very young people, many in their 30s and early 40s dressed in classy designer suits and classy damsels giving them company. They live mostly in Kileleshwa, Lavington, Karen and Westlands but their base of operation is Kilimani and along Ngong road where most deals are sealed. You would be forgiven to think that they work with some of the top blue chip companies in the city but alas...you are wrong.

It's a web that includes foreigners as well and well-connected individuals in government. Nigerians and Chinese are the most notorious ones with Indians coming third, of course in collaboration with their Kenyan counterparts who play the lead role.

If you are well-versed with Nairobi, you will notice that when you are in Kilimani, there's a high chance of meeting a fuel guzzler in almost every corner you turn to.
 
Enhhh enhhh kuna CBD ngap nairobi πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Enhhh enhhh kuna CBD ngap nairobi πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
Zipo nyingi tu. Mojayapo ndio hii hapa yenye uswazi pembezoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…