kibaka mkabaji....nilijua umekufa kumbe bado upo....,,,yaani unazivizia wi fi kwa city center hadi time hii kweli wewe ni chokoraa waduniachokoraa unatapatapa tu winguni. ....habari za nyamalani uswazi.Unatafuta kiki naona
kibaka mkabaji....nilijua umekufa kumbe bado upo....,,,yaani unazivizia wi fi kwa city center hadi time hii kweli wewe ni chokoraa wadunia
uswazi ni nini?
basi niwie radhi manzi wangu wa kimombasani...mtoto mzuri wa kike toka pwani ya kenya.[emoji23]
[emoji13] [emoji13] [emoji13] yaani hata english wanayoizungumza ni mbaya...sana yaani hata haivutii
eti siielewi....kwa taarifa yako huo upuuzi wa english mnayousujudu na kuitukuza nimekuwa nayo since darasa la awali hivyo sina tatizo kwa upande huo.....na nimekulia kwenye mazingira yakukizungumza mara mara nanaweza kuzungumza na mtu yeyote yule ila siwezi kukizungumza na wakenya sababu mnakizungumza vibaya hamkiwezi vizuri japo mnakuwa nacho kikubwa nitakuzungumza na raia wa ughaibuni na watanzania wenzangu tulio smart kwenye english.......,,na kingine english si kitu kwangu[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]Eti English haivutii? itakuvutia vipi na hauelewi chochote. we baki huko chato ujaribu kisukuma.
[emoji13] [emoji13] [emoji13] bora uwe mjinga kuliko kujifanya mjanja 4 nothing.....chokoraa wa uswazini una mambo kweli. .....umepata chakula ama nikutumie marupurupu kuokoa nafsi yako....
.....kwa kuwa mimi ni mwanaume katili,bedui,nduli,ngumi jiwe,jitu la miraba minne,mvunja nazi kwa ugoko,ngumi nakozi.....[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]mbona kila mtu hapa anakukemea??
eti siielewi....kwa taarifa yako huo upuuzi wa english mnayousujudu na kuitukuza nimekuwa nayo since darasa la awali hivyo sina tatizo kwa upande huo.....na nimekulia kwenye mazingira yakukizungumza mara mara nanaweza kuzungumza na mtu yeyote yule ila siwezi kukizungumza na wakenya sababu mnakizungumza vibaya hamkiwezi vizuri japo mnakuwa nacho kikubwa nitakuzungumza na raia wa ughaibuni na watanzania wenzangu tulio smart kwenye english.......,,na kingine english si kitu kwangu[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
.....kwa kuwa mimi ni mwanaume katili,bedui,nduli,ngumi jiwe,jitu la miraba minne,mvunja nazi kwa ugoko,ngumi nakozi.....[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
ngoja nikuache.....tu[emoji85] [emoji85] [emoji85]Unazungumza na watanzania wenzako? so interesting, maana ninyi wote hamjui chochote, you made it more amusing when you said that unakizungumza on daily basis I guess you are confused ,and don't know what you are talking about.
come on people where are the Rosslyn Riviera pics
never gets old...