Mwaka uliopita barabara za 880km zimejengwa TZ.Pesa inayotengwa kwa ajili ya kukarabati na kujenga barabara kwa kiwango cha lami ni kweli kwa mwaka mkoja haitoshi, izo 500km ni mfuko wa barabara tu,lakini kuna miradi ya mikopo kama ule wa barabara ya masasi mtwara kipande cha mvinata 160Km ambazo walichukua pesa Bank ya maendeleo africa,
Kuna miradi kama ya Tengeru moshi holili upanuzi wa barabara kua njia nne hela za mjapan,kuna miradi ya mwendokasi kutoka washirika,outer ring ya dodoma na miradi kadhaa ambayo haijatengewa fedha za ndani...
Ukijumlisha miradi inayoendelea kutekelezwa ni zaidi ya 1700Kms znajengwa kwa sasa kwa kiwango cha lami
Hizi mapambio zimeimbwa sana, ilikua itendeke by 2015!wadau furahieni hii hapa 🤣 🤣
Tanzania will overtake Kenya in 3 years!!
as far as i am concerned, the gap is wideningHizi mapambio zimeimbwa sana, ilikua itendeke by 2015!
Hiyo 2015 we were in $68 to $70B.., not over $80B as Maalim is insinuating.., yeah Tz is progressing as it is the case with many other Sub Saharan African countries.,
Hata huko Dar uliyowatajia, jiji la watu milioni sita, footbridges hazifiki hata 20 the entire city. Thika road alone has more than ten kama sijakoseaYaani si ungechunguza kwa nini footbridge ilijengwa pale kwanza kabla ya kukurupuka., nyie bado sana kilaza.., hivi vitu mnaviona tu in Dar.., pale kuna shule, na watu mbali mbali kama wazee hivi.., Kenya sio Tanzania yenye haina uwezo.
Tangu lini migori ikawa kijiji 😆😆😆 wakat ni county na ni town kubwaSasa kwann tujenge na havina maana? Footbridges ni kwa sehem ya mkusanyiko mkubwa wa watu na magari mengi yanapita hapo kwa kasi.. huko kwenu watu wanaangalia kupiga hela tu za burebure kwa kujenga 🐘 projects
Wacha hasira sasa budaa🤣🤣🤣🤣 eti ni kweli migori ni kijiji??Anayeumia ni wewe unayezunguka kupiga picha za magari kwenye garages in a foreign country just to prove a point.
🤣🤣🤣 migori kuna garage manake naona gari nzima na mbovu zote ziko barabarani tuAnayeumia ni wewe unayezunguka kupiga picha za magari kwenye garages in a foreign country just to prove a point.
Hiyo barabara kwa sasa inapanuliwa all the way from Kisii town to Isebania border through Migori town. The fella travelled from Sirare to Migori using the same road, saw so many trucks and machines going about their business, but couldn't mention that or even post a picture of the same. Alingoja afike Migori town aende kupiga picha magari zilizoegeshwa kwenye garages and say how poor Kenyans are. The dude is so desperate!Mwenzako ameshangaa vile Migori imechangamka ako na aibu, inabidi atafute pakutokea, mwambie akuonyeshe hiyo barabara aliyo itumia kutoka border hadi Migori ilivyo.., and goes beyond, past Kisumu to Turkana county, next to Kenya South Sudan border.., Kenya sio Tanzania mjukuu.., mwehu anajaribu kudhalisha tu, ila wapi, anatafuta vya ku post kujiliwaza., ameshangaa!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] migori kuna garage manake naona gari nzima na mbovu zote ziko barabarani tu
Na ndio maana TZ atupeleki jeshi la eac congo maana yameenda kiinterest zaidi,tutabaki na monusco tuTuliwaambia hapa wameenda location kupiga picha tuu hamna jeshi hapo. [emoji116]
View attachment 2478121
Sinia la kwenda..Humu kachanganya na alovera au mkonge huu yarrabi? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 2476998
Kama sio wewe ni mkenya mwenzio alipofika dar picha pekee alizokua anapost ni sehemu mbaya,upanga yenye barabara nyingi za lami ye aliamua kupiga picha potholes na sehemu chache ambazo hazina lami.Hiyo barabara kwa sasa inapanuliwa all the way from Kisii town to Isebania border through Migori town. The fella travelled from Sirare to Migori using the same road, saw so many trucks and machines going about their business, but couldn't mention that or even post a picture of the same. Alingoja afike Migori town aende kupiga picha magari zilizoegeshwa kwenye garages and say how poor Kenyans are. The dude is so desperate!