Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

kwa sababu watanzania wengi wakija Nairobi, maisha wanayoweza ku afford ni ya kibera.



they flood our towns with begging bowls but still talk bad about us....SMH. wengi wao huja Nairobi coz most international headquarters are located in Nairobi and once in a while get subsistence fund to visit the headquarters. ...hahaha. ama wanapewa payment voucher Ile ya imperest
 
comrade,
hawa watu mimi hata hawanitishi,ni wa kuwapuuza tu.ni watz wenye ile mentality ya kizamani...ni watanzania wenye confidence ya kutojiamini....
asilimia kubwa,niwatz wanaoishi mikoani...sio mkoa wa dar.

mtu umekuita thread ipo kwenye page ya 4000+ na views 800000+ then unakurupuka tu out of no where kusema nairobi is blabla than dar....bila hata kutumia logic ndogo tu kujiuliza thread hii imefikaje kwenye page nyingi kiasi hiki...bila hata kutumia logic ndogo kujiuliza kwanini thread hii ina namba kubwa ya views kuzidi thread zote zilizowahi kuanzishwa kenyaforum.

bila hata kutumia logic ndogo kujiuliza
kwanini wakenya wamekuwa wakiji keep busy sana na hii thread tangu siku ya kwanza.

bila hata kutumia logic ndogo kujiuliza
kwanini wakenya wamewekeza nguvu zao kwenye hii thread na sio thread zingine za jukwaa la kenyaforum.

wakijuliza hayo masuali na kupata majawabu,wataelewa kwanini nairobi inapumuliwa kwa nyuma na dar kiasi cha kuwakosesha raha wakenya wasiamini kile dar inachoelekea kuifanya nairobi.
 
[emoji13] [emoji13] [emoji13] yaani hata english wanayoizungumza ni mbaya...sana yaani hata haivutii
 
Mzee wa iphone7,jay254,el matadol a.k.a chura ...hawa wote ni vibaka wakabaji wakikenya .....[emoji15] [emoji15] [emoji15]
 


Yeah umenena mkuu,
nilishangaa kuona nyumba za mbavu za mbwa zipo Nairobi daah,

ila hawa watu wana confidence saana ili hali wanajua kuwa Dar is no longer katika level zao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…