Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hivi kuna ndege kutoka Tanzania inaenda mji Mwingine wa kenya tofauti na nairobi? [emoji848]

Tanzania ina miji mitatu ambayo Kenya ni international destinations [emoji1787]

Halafu wanaona tupo level 1 [emoji854]

View attachment 2476561
International destinations for major airlines in EA (Kenya, Uganda and Tanzania) ziko 5 tatu zikiwa Tanzania pekee.
 
Misplaced priorities ndio inawaua hawa watu na njaa. Mkulima na probox nimecheka sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Atakuambia hapo ni ulaya. Jambo asilolijua ni kuwa in Tanzania watu wa vijijini ndio wana good life kuliko watu wa mjini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ