Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mji mzuri sana. Na imagine migori ni mojawapo wa conties maskini kenya
 
Mbona naona picha nzuri tu. Nina uhakika miji ya kiwango hiki hapo bongo haina hii infrastructure ninayoona hapa na magari ni mabovu. Unajaribu sana kuchafua kilicho safi.
Pia mimi nimeona.., get clip ya Mwanza ama Arusha ya 2022, gari ni zile model za 15 to 20 years ago, infact ziko random, hautafiti, ziko kushoto, kulia, kaskazini na mashariki, ingewezekana pia na juu ungeziona πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Nyumba za mabati ni national symbol ya Kenya, wafanye waiongeze kwenye alama za taifa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Shida ni hilo sinia linaonekana kabisa lipo kilabuni kwa wanywa chang'aa, Wakenya tafadhali naomba msiwe mnapost maisha yenu halisi humu mnajichoresha sn, mwishowe tutaacha battle na nyie maana inaonekana kabisa tuna battle na machokoraa humu.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Idadi ya majengo yanayojengwa Dodoma unaijua?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…