Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Number of verified sim cards in Tanzania. Nakunbuka hapo nyuma kulikuwa na mlinganisho wa kiasi cha sim cards between kenya and Tz.

Wadau naombeni kujua tuna verify vipi hizi sim cards zetu?

 
Kuna mpumbavu jana alikua anajitutumua kuhusu streets, hivi Wakunya kabisa ni watu wa kuongea kuhusu streets mbele ya Tanzania? 😂😂😂

Hii ni municipal ya Shinyanga wala sio Kahama lakini hutokaa upate Street kama hii Nairobi



 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…