Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Barabara za mchanga naziona.
Barabara za kudumu huwa zipo hivi
Nikija kwa barabara, mnaruka kwa gated community, nikianza gated community mnarudi kwa barabara. Mbona mko waoga hivi? Hapo Nyayo Estate kila barabara iko tarmarcked. Hii uliyopost ni artery road, nikiingia mtaani ni shida.🤣 🤣
 
What is this? [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]

Nyayo Estate
Ndio estate zao wanazozitegemea, daily hzo hzo yn kabla hata hajasema kichwani najua ataweka nn, miaka nenda rudi hzo hzo estate nzee zenye bati nyekundu juu, watu tushaamia Dodoma wao bado wako na hzo hzo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Nilipokua huko, mlishindwa mkaanzisha ligi ya gated communities, sasa mnataka kurudi huko tena baada ya kurealize kwa gated communities hamna kitu? [emoji1787] [emoji1787]
Access road umeleta ni hii pekee [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787]
 
Anakuja na google eti kutusahaurisha. Sisi tunataka atuletee picha na atuambie hapo ni wapi. DMDP inamaliza mchezo huu asubuhi sana.
Nakuambia hivi kaka dmdp imechakaza sn mitaani huko, mm nitamuua na roads za Yombo pekee alafu nakuja kumchinja na kiwalani, akiwezana mm naondoka jamiiforums leo leo, Kenya hii hii isiyo na roads ndiyo ishindane na Tz?
 
Tumia akili wewe tulimpa kazi YAPI Merkez mkataba wa kujenga reli Dar Moro phase 1 hata ukiangalia technical report inasema phase 1 itabeba 17 million tons pa.
na phase 2 itabeba tonnes ngapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…