Car yard za bongo zinauza magari zikona over 15 years, eti hizi ni fresh imports kutoka Japan. 😂😂😂 Hio line up yote hakuna gari KRA wanaweza kubali iuzwe Kenya in 2023 as an imported vehicle.Wanasema magari zetu za zamani, ndio hizi zao mpya. 2022 model 🤣 🤣
Umeiacha ile account yako tena. Nimekugonga kwenye project.Wanasema magari zetu za zamani, ndio hizi zao mpya. 2022 model 🤣 🤣
Picha za zamani sana hiz...Wanasema magari zetu za zamani, ndio hizi zao mpya. 2022 model [emoji1787] [emoji1787]
Anayeumwa ni wewe unayelinganisha hizi shanties na MombasaMombasa yenye nyumba nyingi za udongo kuliko city yoyote Africa ndio iizidi Zanzibar jiji la kitalii? Unaumwa wewe sio bure [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Watakumbia no picha za 90s 😂Wanasema magari zetu za zamani, ndio hizi zao mpya. 2022 model 🤣 🤣
Magari haya hapo kuna yapo ya miaka 40, 20, 15, 10 etc , Hiyo Nissan Dualis na vitz afadhali zinaweza kuwa ya mwaka 2008 .Gari zote zilizokuwepo hapa ni za zamani hakuna mpya hata moja, linapokuja suala la magari Kundustan republic mtuache.View attachment 2471087
Pia hayo magari yote namba A, Sasa hivi tupo E , na hana aibu anaandika ni 2022. ukisikia kukosa maarifa au taarifa 🤣Picha za zamani sana hiz...
Kuna hadi daladala za mbezi kivukoni...hii itakuwa 2010...
Hii seheme ina Mwendokasi sasa kwenda mbezi
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
And remember that's the only golf course there is in Dar 😂😂😂
Nairobi hata sijui ziko ngapi. Na bado kelele zinapingwa huku na mibongolala
Huyo mwarabu bandia hua mshamba sana. 🤣 🤣 🤣
Yani wakenya wote wamejikusanya dhidi ya mm mtu mmoja 🤣🤣🤣🤣 hii inaonesha kua mm ni mmoja wa maadai wakubwa ninaowaumbua sana na hawanipendi kaaaah na yule mtu wao zwazwa nae anashangilia kisa nimemuumbua kuhusu znz ilivo tamu anafkiri hatuijui mombasaGolf course unaita park
View attachment 2471046
Pia hayo magari yote namba A, Sasa hivi tupo E , na hana aibu anaandika ni 2022. ukisikia kukosa maarifa au taarifa [emoji1787]
Zwazwa kapanic kaleta vile vipanya vilikuwepo 20yrs ago 🤣🤣🤣🤣🤣 naomba muendelee kumvumilia hio ni hasiraPia hayo magari yote namba A, Sasa hivi tupo E , na hana aibu anaandika ni 2022. ukisikia kukosa maarifa au taarifa 🤣
🤣🤣🤣🤣 kashabadili id tayar ukiona kagongwa nyundo anakimbia kwenye id nyingine kwenda kupumuaUmeiacha ile account yako tena. Nimekugonga kwenye project.
Na hiyo picha ya kwanza ni pale Uhuru round about ishavunjwa miaka mingi na BRT lanes za awamu ya kwanza zinatumika na awamu ya tatu zinakztisja soon hapo.Zwazwa kapanic kaamua kuleta na picha ya miaka 20 iliopita 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 kwani kupanic bei gani???
View attachment 2471141View attachment 2471142
Na hatujawahi kukataa kuwa magari ya zamani kuwa bongo.
Tatizo ni wao kukataa kuwa magari ya zamani hayapo kwao halafu baada ya muda anapost picha ya kwao magari ya zamani yakiwa yanaonekana.
Ingekuwa bora zaidi Kama ungefanya some research on Ndung'u Land Report kabla ya kutoa povu.Hivi unajua kwamba Kenya iliunda tume maalumu ya kuchunguza masuala ya "land injustice" iliyopo Kenya ijulikanayo Kama "Ndungu's committee", katika nchi ambazo ilikwenda kujifunza ni Tanzania, na ilipendekeza kwamba Kenya ifuate Sheria za Tanzania katika kumiliki na matumizi ya ardhi. Itafute hiyo ripoti ujisomee.
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
None of your businessWhy is Mwanza at number 4?
Sasa nani awe na chuki dhidi ya mtu anayeita golf course recreational park. Mtu kama wewe ni wa kuhurumiwaa tu, si wa kuchukiaYani wakenya wote wamejikusanya dhidi ya mm mtu mmoja 🤣🤣🤣🤣 hii inaonesha kua mm ni mmoja wa maadai wakubwa ninaowaumbua sana na hawanipendi kaaaah na yule mtu wao zwazwa nae anashangilia kisa nimemuumbua kuhusu znz ilivo tamu anafkiri hatuijui mombasa
Ndugu wakenya naomba muendeleze chuki na mm manake mm napenda zaidi maadui kuliko marafiki 🤣🤣🤣🤣 mwengine anakwambia kibera kuna golf course
Unafkiri huyu kaja kuangalia golf course au kaja kuangalia maajabu ya dunia na kuona ni vipi binaadamu anaeza ishi mazingira ambayo hata nguruwe hawez kuishi
View attachment 2471140
Ndio maana akaitwa zwazwa endelea kua na subra juu yake na pia nashkuru kwa kufanya kazi hii 👇👇👇 ama kweli ngariba haogopi mikojoNa hiyo picha ya kwanza ni pale Uhuru round about ishavunjwa miaka mingi na BRT lanes za awamu ya kwanza zinatumika na awamu ya tatu zinakztisja soon hapo.
Msimbazi street by indaressalaam, æ–¼ Flickr
Msimbazi/Uhuru street by indaressalaam, æ–¼ Flickr