Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Usifosi tufanane mzee baba [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Wanaumizwa na uwepo wa ma slums na kuyatoa hawawezi mana over 70% ya wakundustan wanaishi humo, hata hawa wa humu wanaishi humo humo, kama wangekuwa hawaishi humo wangeshaonesha wanapoishi kitambo tu, nadhani wakundustan mnawajua kwa sifa [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Daah watu wanateseka sana apo
Baba wakundustan wana maisha magumu mnoooo asikuambie mtu, wanamiliki ma slums makubwa kuliko yote duniani we unadhani ni mchezo mchezo? Hivi uwe namba moja duniani kwa kuwa na ma slums makubwa sio kitu cha kuchekesha hata kidogo [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Let's do some comparisons za picha zako with a few from Dar as well

Your picture of a Nairobi slum


VS
Dar middle-class area 😂😂

Your picture of a Nairobi slum

VS
Dar middle-class area 😂😂I

Your picture of a Nairobi slum


VS
Dar middle-class area 😂😂


Unafaa kujiuliza maswali mengi sana
 
Kweli nmejiuliza sn mbn hakuna nyumba za mabati Dar [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kweli nmejiuliza sn mbn hakuna nyumba za mabati Dar [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
So wewe unajua eneo lazima iwe tu na nyumba za mabati ndio iwe slum? Mwenzako Tuusan Ameona hizo video na kasema hawezi ishi hayo maene o hata apewe nyumba bure. Unafikiri ni kwa nini?
 
Naomba kurepost hiki kipande😅
View attachment 2469946
If you din't know that vehicles use available parking spaces once they enter the cbd and no longer stay in traffic snarlups then you have every right to repost.

Also, most office buildings nowadays have parking spaces that can accommodate hundreds and sometimes even thousands of cars. So usishangae magari hupotelea wapi once they reach the cbd. But I understand coz you come from Dar
 
Nikifungu kipi hicho umiliki wa ardhi kwa wawekezaji?
Watu waruhusiwe kumiliki ardhi sio ku lease ardhi from the government. Mwekezaji akimiliki ardhi atakuwa huru kuwekeza ila kama ni lease hold wawekezaji watakuwa wanaogopa kuwekeza maana serikali inaweza ikafuta hiyo lease muda wowote. Huko nyuma ilishatokea yule mzungu wa Arusha alivyonyanganywa mashamba mpaka kupelekea ndege zetu kukamatwa south africa na canada.
 
Na si kila siku hapa tunaambiwa watanzania wanamiliki ardhi, eti kwamba you don't lease from the government? Iweje tena leo maneno yamebadilika?
 
So wewe unajua eneo lazima iwe tu na nyumba za mabati ndio iwe slum? Mwenzako Tuusan Ameona hizo video na kasema hawezi ishi hayo maene o hata apewe nyumba bure. Unafikiri ni kwa nini?
Yeye ndiyo hawezi kuishi, tuusan au mm pia hatuwezi kuishi unapoishi wewe kwn uongo? Naomba unioneshe mazingira kama haya au nyumba za bati chafu kama hizi sehemu yoyote ile hapa Tz sio tu Dar [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hamna cha aggressiveness ni tabia tuu ya watu ambao ni uncultured.
 
Picha za enzi za Mkapa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

No plastic bags in Dar as we speak, alafu kwann unaweka picha za mawinguni? Weka picha za chini kama hivi [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…