Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tanzania runs a devolved system of government long before you introduced one in Kenya so keep your observation to yourself.
 
4.7M for Nairobi proper actually.
Are you an expert in urban planning? Obviously not - you don't even have enough knowledge. The global trend currently is towards high density cities with more green spaces. Urban planners are working towards high density cities. Seems it'll take quite a long time to just change the mentality down south.
 
Iko Dar es Salaam Metropolitan Development Project (DMDP) inafanya kazi hiyo kwa sasa kwa kujenga barabara na kuweka taa kwenye viunga vya jiji pamoja na kujenga masoko ya kisasa ila juhudi zaidi zinabidi ziongezwe ili kuleta ufanisi mkubwa kwenye mipango miji ikiwa ni pamoja na kurekebisha kifungu cha sheria katika umiliki wa Ardhi ili kuvutia wawekezaji wengi wa private.
 
Andika kwa kiswahili. Kwani wewe ni mzungu?
 

4.3m to be precise,
Ideally You May be right, but Nairobi is different, Nairobi is just overwhelmed with poor infrastructure, poor services, poor drainage system, poor mobility due to lack of organized public transport,massive slums etc . Usichangane mambo mzee ,
nairobi ni low budget Dhaka ya Bangladeshi, au sampuli za Lagos. a Typical third world township.
 
In Nairobi, machokoraa wamejaa kila kona ya mji, and it’s just a regular practice,
You can’t call someone in Public ukiwa nairobi, or your handset will be snatched in daylight and no one cares.
Ukiwa nairobi kwa mdada kumbuka kushikilia mkoba wako vizuri.
Wenyewe huita aggressiveness.
 
Andika kwa kiswahili. Kwani wewe ni mzungu?
Sasa akiandika kwa kiswahili au kijaluo atakuongopeaje kwamba na yeye kasoma, wakundustan huwa wanadhani akiongea kizungu utamuona maisha yake mazuri au kasoma, ni wajinga mno, apo hakana chochote cha kuonesha ila kanaongea kingereza kakidhani kataonekana kastaarabu, vimekamatwa mno na ukoloni.
 
Wanapigana miti mpk kwenye recreational park unategemea nini hapo.

Ukitaka kujua nguvu ya maskini tongoza mke wake, yaani mke ndio mali pekee anayo then wewe unataka kumnyang’anya
This is what happens in Kundustan,
Kupigana miti Ndio starehe pekee waliyonayo, sababu ya ufukara,
Na matokeo yake Wanajikuta wanazaliana kama mbuzi.
 
Wakishavaaga yale makoti ya suti ya mtumba oversize uwakute wanazungukazunguka uhuru park basi wanajihisi wazungu fulani hivi toka nchi ya marehem malkia, na kingereza chao kibovu Chenye accent ya kikamba [emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hawa wakundustan wanavuka 60mil me nakuambia, ni vile govt yao inaficha data ili waonekane wachache mwisho wa siku waonekane wana per Capita kubwa ili kuvutia mikopo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…