REAL Comrade Kipepe
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 3,669
- 11,674
clearly, you don't know anything about housing projects.NHC want to increase their profit margin to finance even more projects. That’s why they build high profile housing like Morocco Square and Victoria Place - to attract wealthy buyers and investors.
I stated a while ago that we cannot rely on NHC completely to provide sufficient affordable housing for the people. Invite the private sector and give them tax credits to increase the supply of affordable housing! The government also needs to provide more financing for affordable housing projects.
NHC pekee hawana nguvu ya kubadilisha “takataka inaitwa Manzese.” Hatuna housing developers wa kutosha na pia hatuna incentives za kuwavutia kuwekeza nchini.Well, a reason tunasema miradi kama hii haipaswi kuwa ni kipaumbele kwa shirika la nyumba la Taifa,
Hao watu wenye uwezo wa kumudu hizi high end apartments? Wangapi wana hiyo disposable income at that high margin yaani katika watu elfu yupo hata mmoja ?
Kwa namna hii makazi holela yataendelea kuwa tatizo kwa miaka mingine 50, majority wataona wakajenge huko Mapinga ..
Pamoja na kuwa na target customers wa namna hii,
NHC inatakiwa kuwa proactive kujenga apartments za bei nafuu kwa walio wengi,
Hii miradi ina kila harufu ya ufisadi,
Sababu haimake sense kuanzisha mradi mpya ikiwa mingine imetelekezwa,
Pale kawe Kuna mapagale kibao yana 5+ years abandoned, morocc square as well,
Ni kitu gani kinawaganya wakimbilie mradi mpya ? Kwanini wasianze kufikiria namna ya kuboresha ile takataka inaitwa Manzese? Au Tandale sijui Bonde la mpunga?
NHC pekee hawana nguvu ya kubadilisha “takataka inaitwa Manzese.” Hatuna housing developers wa kutosha na pia hatuna incentives za kuwavutia kuwekeza nchini.
Huwezi kutegemea informality ipungue kama majority ya nyumba hazijengwi na makampuni na kusimamiwa na planning ya serikali. Kila mtu kujijengea atakavyo aka “Dream Houses” ndio kunasababisha informal settlements nchini kote.
Housing developers wakiachiwa jukumu la kujenga nyumba Kwa watanzania chini ya regulations za serikali, mitaa itapendeza. Kutakuwa na sewerage systems, street lighting, parks and recreation na kadhalika. Kutakuwa na ajira definitive Maana hizi kampuni zitakuwa zinaajiri watanzania kujenga na pia baada ya nyumba kuwa tayari kuwekwa kwenye market, kutakuwa na ajira Kwa real estate brokers ambao wanasaidia watu wanaohitaji makazi kupata nyumba wanayoipenda. Na malipo ya hizi nyumba ni Kwa njia ya mortgage.
Then NHC watakuwa na responsibility ya kujenga affordable housing Kwa watu ambao hawawezi hata ku-qualify kupata mkopo wa kulipa mortgage. Au pia serikali inaweza kuweka policy inayo-dictate Housing developers wa-include Nyumba za bei ya chini Kwenye projects zao.
Hiyo ni Ohio street, siyo suburb...unaweza kufanye google search ya hiyo street.Tofautisha kati ya cbd na surbab
Kwahiyo unajivunia traffic jams?just imagine outside of Dar CBD ie.(Posta)... no other city in Tz has traffic jam.
nb:
in kenya we have devolved other functions to other cities.. not just the commercial and capital city, nairobi...
like u guyz, everythng.. Dar Dar Dar only!
here👇🏽 traffic jams in kisumu, in the evening during rush hours..
also note 'matatu culture' in kisumu rivals tht of nairobi🤔
View attachment 2469350View attachment 2469343View attachment 2469344View attachment 2469345View attachment 2469348View attachment 2469349
KilosaWapi hii
Sasa hii ndio definition ya classy, yaani hii station huwa haichoshi kuitazama, hakuna mangazingazi ya kishaolin temple, hakuna macradding ya hovyo hovyo, hakuna maminara ya kimchongo, yaani simple and classy. Nilitamani sana station zote ndogo zingekuwa na image hii.Ukalii... View attachment 2469171
Mdogo wangu unaniangusha, hadi wewe? Ila sikulaumu, kwa jicho la kizembe hapo LAZIMA useme ni Texas kumbe Kilosa😅Wapi hii
At the same time it leads to destruction of forests hence reduced carbon absorption from the atmosphere. Start marking buildings like that on a large scale and your country becomes a desert - unless you have a tiny population with extremely large forests like Canada.It is a “green building” because timber is a lower carbon material – It’s renewable and sustainable. So, using it for construction reduces the building’s carbon footprint as opposed to using materials like steel and concrete.
You don't know anything about anything.clearly, you don't know anything about housing projects.
Get rid of some little embarrassments by staying away from issues you have little to no understanding.
Juzi niliwaambia panueni hako Kanairo, nyie kila kitu ni CBD, yaani an average Nairober ni LAZIMA aende CBD mara kadhaa kwa wiki ili maisha yaende, hapo achilia mbali other Kenyans aka Kundustans ambao LAZIMA waje NAIROBI kwa shughuli za kiserikali na kimaisha. Yaani hata ukitaka kununua malaya mpaka uende CBD😅😅just imagine outside of Dar CBD ie.(Posta)... no other city in Tz has traffic jam.
nb:
in kenya we have devolved other functions to other cities.. not just the commercial and capital city, nairobi...
like u guyz, everythng.. Dar Dar Dar only!
here👇🏽 traffic jams in kisumu, in the evening during rush hours..
also note 'matatu culture' in kisumu rivals tht of nairobi🤔
View attachment 2469350View attachment 2469343View attachment 2469344View attachment 2469345View attachment 2469348View attachment 2469349
Matamshi ya mtu ambaye haijui Nairobi haya.Juzi niliwaambia panueni hako Kanairo, nyie kila kitu ni CBD, yaani an average Nairober ni LAZIMA aende CBD mara kadhaa kwa wiki ili maisha yaende, hapo achilia mbali other Kenyans aka Kundustans ambao LAZIMA waje NAIROBI kwa shughuli za kiserikali na kimaisha. Yaani hata ukitaka kununua malaya mpaka uende CBD😅😅
Sasa sisi tumeishatoka huko, CBD iko less congested sababu kuna business center kila sehemu, shughuli za kiserikali sasa zimeamia Dodoma na mnaona mnavyopata homa na New Dodoma, mikoa mikubwa yote inajitegemea kibiashara, kiuchumi, kichakula na kihuduma za jamii kama afya n.k. So acha kutuambia ujinga, mkitaka kujua namna miji inafunction njooni Bongo mjifunze, sisi huko tutakuja kujifunza namna nchi mzima imestuck sababu ya kuipimp Kanairo.
Ninauliza tena, hakuna projects mpya huko kenya?Matamshi ya mtu ambaye haijui Nairobi haya.
Projects watoe wapi ikiwa projects zote ziliosalia ni za wachina by 100% 😆😆😆Ninauliza tena, hakuna projects mpya huko kenya?
Pain ya nn wakat wana GDP kubwa ya kwenye makaratasi 🤣🤣🤣🤣🤣