Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

The only East African city with modern streets. (Utaona mwengine ametuletea picha za hizo Highway zao tatu. Hajui tofauti ya streets na Highway)View attachment 2468841
View attachment 2468839
Tuwaongeze na hizi pia walie zaidi 😂
The only East African city with modern streets. (Utaona mwengine ametuletea picha za hizo Highway zao tatu. Hajui tofauti ya streets na Highway)View attachment 2468841
View attachment 2468839
Tuwaongeze na hizi pia walie zaidi 😃😂
 
So you can touch poverty and have a feel of it?
Embu refer hapo chini kwanza [emoji116] kabla ya kunipotezea my precious time.

Ni heri uwe mjinga kuliko mpumbavu maana mjinga ukimuelimisha anaelewa lakini mpumbavu kamwe haelewi hata umuelimishe mara ngapi. Upumbavu ni kama kipaji vile urefu na ufupi ulivyo huwezi alter anything hapo maana ufupi ni ufupi tuu na urefu ni urefu tuu.
 
Umekula kwanza usikute nazungumza na mtu mwenyewe hypoglycemia ambaye yuko disoriented.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…