Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

How do you know kuwa ajali za barabarani ni nyingi Tz? Lazima utakuwa na reference au comparative data na nchi nyingine mpaka umeweza ku deduce that.
More evidence. It’s a CRISIS.
But does he really think that prayers will solve these problems?
 
Uongo mtupu, Commuter buses nyingi za Mbagala zina hali nzuri kuliko hata cooperate staff buses za kundustan, stop making up illusions here!

 
Nusu mwaka revenue up to $5.33B niliongea huku mwaka huu tunakusanya $10B kuna mkenya roho ilimuuma sana sijui kwann[emoji2][emoji2][emoji2]
 
Kundustan pamoja na kukamua wananchi kodi kubwa mara 3 yetu lakini wametupita kwa $1 billion only 🤣
 
Nusu mwaka revenue up to $5.33B niliongea huku mwaka huu tunakusanya $10B kuna mkenya roho ilimuuma sana sijui kwann[emoji2][emoji2][emoji2]
Sasa makusanyo yamefika wastani wa til.2 kila mwezi kutoka wastani wa til.1.4 yaani chini ya Miaka 2 makusanyo yameongezeka kwa bil.600 zaidi..

Robo ya Pili TRA wamekusanya 6.5 Tilioni vs 5.9 ya robo ya kwanza.

Kudos Rais Samia na huu uwekezaji ikifika 2025 makusanyo yatakuwa mbali Sana.
 
Sasa huo uwingi wa ajali umeutoa wapi? Ajali hutokea kila nchi na kama huna reference huwezi kusema kuna ajali nyingi unless umetoa a biased opinion.

Admitting mistakes is part of being a gentleman you should know that.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…