President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,631
- 94,237
Sasa unakuja kwenye thread ya battle btn Dar and Nairobi kisha ulete maelezo tofauti na battle je, utakuwa umetutendea haki?Nimeshakwambia kuwa sijihusishi na mashindano yasiyo na msingi. Sifaidiki Kwa kufahamu aina ya gari linaloendeshwa zaidi Kenya. Ninachotaka kuzungumzia ni post iliyoonesha basi lenye hali mbovu likibeba abiria. Kama hili si lengo lako pia, tafuta mtu mwingine wa kuzungumza naye kwasababu mimi sina muda wa kupoteza.
Wewe na pozi zako za kisasa hata passport pekee huna. Utafia hapo Tandale wakati wenye pozi za kihenga wanatalii ulimwengu.Mkenya na ushamba 🤣
Yaani yupo kama primitive mmoja wa Bush interior, check pozi zilivyo za kihenga 🚮
Kuna watu humu wanapost kuhusu vita ya Russia dhidi ya Ukraine, ambayo haina mahusiano yoyote kuhusu hii “battle” yenu. Umeshawahi kuwauliza hilo swali? Lengo la Jamii Forums ni kutoa platform ya kujieleza bila mipaka. Kwa hiyo nitatumia haki yangu accordingly.Sasa unakuja kwenye thread ya battle btn Dar and Nairobi kisha ulete maelezo tofauti na battle je, utakuwa umetutendea haki?
Tukikuuliza unakuwa mkali, je, mwenyehekima anatabia hizo?
How do you know kuwa ajali za barabarani ni nyingi Tz? Lazima utakuwa na reference au comparative data na nchi nyingine mpaka umeweza ku deduce that.This has nothing to do with Kenya, so I don’t know what you’re talking about.
Ona sasa unakorukia!!!Kuna watu humu wanapost kuhusu vita ya Russia dhidi ya Ukraine, ambayo haina mahusiano yoyote kuhusu hii “battle” yenu. Umeshawahi kuwauliza hilo swali? Lengo la Jamii Forums ni kutoa platform ya kujieleza bila mipaka. Kwa hiyo nitatumia haki yangu accordingly.
Again, I did not make a comparison with other countries. Hii ni Wewe kuwashwa huku ukitafuta sababu ya kubishana na mimi. Hadi Rais Hassan kwenye tweet zake kabla mwaka 2022 hujaisha alihimiza sana kuhusu usalama barabarani. Habari kuhusu ajali zinatoka kila kukicha, Kwa hiyo usijifanye kuwa hufahamu hali halisi.How do you know kuwa ajali za barabarani ni nyingi Tz? Lazima utakuwa na reference au comparative data na nchi nyingine mpaka umeweza ku deduce that.
Hivi unataka nini kutoka kwangu? Nimeshakwambia kuwa sina muda wa kubishana na wewe na bado unaendelea kuni-quote. Unapenda kupata attention ya wanaume wengine? Una daddy issues?Ona sasa unakorukia!!!
Tunaongelea thread hii cde wangu.
Kwa sasa tunaongelea gari zinazotumika zaidi huko kenya.
Kama huu mfupa ni mgumu kwako achana nao waachie akina NairobiWalker wautafune.
CDE nathani umekosea njia. Hii thread ni ya battle. Hatuhitaji porojo hapa.Again, I did not make a comparison with other countries. Hii ni Wewe kuwashwa huku ukitafuta sababu ya kubishana na mimi. Hadi Rais Hassan kwenye tweet zake kabla mwaka 2022 hujaisha alihimiza sana kuhusu usalama barabarani. Habari kuhusu ajali zinatoka kila kukicha, Kwa hiyo usijifanye kuwa hufahamu hali halisi.
Hawa Hawa wabongolala wenye kusumbuliwa na jinsi mwanaume alivyopiga pozi kwa picha? They're more petty than you're trying to imagine.🤣🤣🤣Mtanzania yoyote yule asiwajibu kundustan habari za mafataki ni ujinga uliopitiliza
Hakuna lolote unaweza fanya. Nitaendelea kuongea nipendavyo wakati wowote nipendao.CDE nathani umekosea njia. Hii thread ni ya battle. Hatuhitaji porojo hapa.
Zipo threads nyingi tu humu. Hii imekuzidi uwezo. Tafuta thread inayoendana na uwezo wa akili yako.
Usilazimishe kuwa mwenye uelewa mpana wakati uwezo wako ni kiduchu.
Oh!!! Jamani, jamani. Yamekuwa hayo tena!?Hivi unataka nini kutoka kwangu? Nimeshakwambia kuwa sina muda wa kubishana na wewe na bado unaendelea kuni-quote. Unapenda kupata attention ya wanaume wengine? Una daddy issues?
By magari ya maana unamaanisha nini? The latest cars hii region huanzia Kanairo. Ndio maana all luxury outlets in this region are based in Nairobi. Endeleeni kuimport 20 year old cars.🤣Baada ya kugundua hamna magari ya maana sio? Wewe Mkustan mbona mnaruhusiwa ku-import chakula ila mna njaa still!?
Ndivyo mlivyo tunawajua. Mnapenda mipasho. Nyie ni madebe matupu hamuishiwi kelele kumbe ndani zero.Hakuna lolote unaweza fanya. Nitaendelea kuongea nipendavyo wakati wowote nipendao.
Achana na mimi.Oh!!! Jamani, jamani. Yamekuwa hayo tena!?
Nimekwambia jambo fupi tu kuwa hapa ni battle btn Dar and Nairobi.
Kwa sasa tunaongelea gari zinazotumika zaidi huko kenya.
HAPO HUJAELEWA NINI SASA?
Kwani lini nimewahi kuwa na wewe?Achana na mimi.
Unajitahidi sana. Je, unaweza kuzihudumia zote accounts zako humu? Na kupa hongera kwa kujitahidi kuwa mmoja wa wamilk wa accounts nyingi za JF.By magari ya maana unamaanisha nini? The latest cars hii region huanzia Kanairo. Ndio maana all luxury outlets in this region are based in Nairobi. Endeleeni kuimport 20 year old cars.🤣
Sio Rhaenyra Targaryen tena?🤣
Mwamba kama mwamba.BRT kuongezwa 17km upande wa mbagala kwenda vikindu [emoji116].
Zote hizo zako mzee.Sio Rhaenyra Targaryen tena?🤣