NDINDA
Platinum Member
- Apr 4, 2011
- 10,747
- 49,633
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tutaweka vizuri swala zima la Phonetics, Etymology etc ili lifae vizuri ki Lexicology na ki Syntax [emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Duh sio kwa square pipes hizo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Isuzu coaster assembly plant in Kunyaland
View attachment 2464674
Wawekezaji walijitoa kwamba masharti magumu na Hakuna mazingira wezeshiMama huku vipi?? Tangu kikwete asepe huku kupo kimya kama hakupo vile View attachment 2464625
Duh sio kwa square pipes hizo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mnapenda kujiliwaza kwa vitu vya zaman.. unajua hapo ni ubungo, ambapo saiz kuna flyover? Pole sana, endeleeni kuugua wivu na maumivuPicture of the year 2022. Dar streets getting sanitized 😂😂😂
View attachment 2464691View attachment 2464692View attachment 2464693
Mnapenda kujiliwaza kwa vitu vya zaman.. unajua hapo ni ubungo, ambapo saiz kuna flyover? Pole sana, endeleeni kuugua wivu na maumivu
Sasa flyover na barabara kuwa sanitized na kinyesi wapi na wapi? Flyovers tulianza kuziona wakati bado zikiwa pipe dream huko kwenu. Tulizizoea kitambo sanaMnapenda kujiliwaza kwa vitu vya zaman.. unajua hapo ni ubungo, ambapo saiz kuna flyover? Pole sana, endeleeni kuugua wivu na maumivu
Kando na hizo services ulizotaja hapo juu, DT Dobie pia wanafanya assembly in collaboration with their partners KVM. And yes, wanafanya assembly ya Mercedes Actros hapa Kenya. Soma taarifaToka line DT Dobie wakafanya Car assembling? Hawa si wauzaji wa magari na gereji ya kutengeneza?
www.capitalfm.co.ke
Hata hao wanatumia USSDWe mkundustan sisi tuna mpaka App ya serikali hapa ni mwendo wa cashless economy. Huko kwenye number tumewaachia watu wa kijijini ambao hawatumii smart phone.View attachment 2464639View attachment 2464640
👇How old the F**ck are you?? 🙄 🙄 Nenda jukwaa la mapenzi or kule Chadema.
Mm hua nafanya pale sinza nina fundi wangu mmoja matata sana alifundishwa na wajapan 😁😁😁😁[mention]ichoboy01 [/mention]
We unafanyaga service wapi? Noble Motors. Hawajakutumia salamu za mwaka Mpya? [emoji23]
View attachment 2464683
Honesty hizo chuma ikitokea collision ndio zinaanza kuua watu. Nowadays wanatumia fibers na iron bars ambazo ikitokea collision haiwezi kukumaliza. Unapata uzimbe tu.Isuzu coaster assembly plant in Kunyaland
View attachment 2464674
Happy New Year, broh.happy new year.. 💥💥
two thousand twenty three
to ya'll 🤩🤩
let it be yet another year for east africa to continue seeing a tremendous and sustained growth..
for the past couple of years now, say a decade now, this block has consistently outperformed its counterparts in the western, southern and northern blocks in terms of economic growth..
as in, eastern african is the real deal👌🏽at the moment 🔥🔥
the paradigm change of the skyline of our capital cities ie. from Addis to Kigali to Kampala to Dar to Nairobi to Mombasa is a wonder that has gotten the world by suprise..😳😳
its a miracle achieved within a very short record tyme.. less than ten years to be precise.!👏🏽
it's my deep prayer that we continue this leading pace, even faster the better 🙏🏽
note:
the entire east africa is now in the middle income category, a feat tht was achieved less than 10yrs ago.....
go go east africa go... and never relent nor look back... 🏃🏾♂️🏃🏾♀️🏃🏽
chao.. 👏🏽👏🏽