Battle: Dar es Salaam vs Nairobi



soma kichwa cha Uzi knasemaje so unakurupuka tuu;ko unaujua uchumi wa Kenya vizuri kuliko nchi yako? acha hizo
 
Thank you so much my dearest friend. Huwa nipo nipo sana humu ila kimya kimya mara zote.

Wakenya wengi ni washenzi na wanjaa njaa. taratibu wataisoma namba. Mimi Sipo Tanzania so ni ngumu kupata picha za Dar but nina picha za Warembo wakareee!



umehepa umaskini ya least developed country hahaha
 
Afu nyie Kenya acheni dharau mbona nilipost bus kibao za Tz ila sijaona mkibattle hapo embu tupieni macoaches yenu tuone
 

Attachments

  • IMG_20171007_142423.JPG
    29.7 KB · Views: 54
watanzania wengi wanakuja na kusema ukweli ila kina uchiboy wanawatusi na kuwakejeli...duh!! si mtu anajieleza tu...mtz amrukiwa na matusi kwa kusema eti Kenya wamewashinda... mkubali tu ukweli BTW, no Kenyan has ever come here to say such things...
 
Afu nyie Kenya acheni dharau mbona nilipost bus kibao za Tz ila sijaona mkibattle hapo embu tupieni macoaches yenu tuone
refer to the early stages of the thread...kuna basi nyingi sana....ulikua unarudia rudia tu...ndio maana wakakuangalia kama chizi..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…