Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Jitahidi kuangalia unacho quote kabla ya kutuma ujumbe.
 
Kuna doted lines upande wa kushoto lakini and straight upande wa kuliaa so yuko sawa
Hapana kwa magari upande wa kushoto hayatakiwi yavuke solid line! Ya upande wa kulia yanayokuja sawa na yamepewa lanes mbili kwasababu ya mlima na kuepusha ajali gari likishindwa kupanda! Watu wengi sheria hawajui! BTW hata ilivyochorwa imechorwa kimapungufu!
 
Wakunya niliwapa challenge waleta proof kwamba AVA wanaunda body za Mabasi wakashindwa hadi leo. Wao wanajua kupost Basi lenye Stika ya AVA tu.

AVA wanatengeneza Tuk Tuk na pick up tuii.. Hawajawahi kutengeneza body ya Basi.
Says an idiot who travels using buses assembled at AVA😂😂🤣😂

 
Leta plant ya AVA ikifanya assembling ya Bus from scratch.. Kwa picha tu maana huna bundle ya ku upload video.

Au leta web link ikionesha AVA wanaunda body za Mabasi.
Picha nilikuwekea kitambo lakini ulishindwa kuangalia. Ukizitaka Tena zitafute huko nyuma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…