Sama boy 255
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 13,804
- 41,710
🤣🤣🤣 We mnuka Mavi wacha kujiongopea.. simBa ilishatoka huko .. saivi ipo na Youtong post yao hii kuanzia January 👇 .Logo ya masters ndio hii hapa. Ukiangalia juu ya hiyo place imeandikwa Simba you will see the same logo😂😂
View attachment 2461568
Mwacheni ajifurahishe 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 We mnuka Mavi wacha kujiongopea.. simBa ilishatoka huko .. saivi ipo na Youtong post yao hii kuanzia January 👇 .
Whatever the context but you imported a used gari moshi aka fossil guzzler that is obsolete and environmentally non friendly.Kuna kitu inaitwa context, unarukia conversation katikati and you want to control it. Tumia akili ya kuzaliwa.
Even us in TZ we build those buses wala haturingi kama nyie.You are showing me China made bus while sisi tunajivunia kuunganisha basi from scratch huku Kenya. Akili inakusaidia kweli [emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Utandawazi umesaidia sana kuwaumbua hawa nyang'au. Wanaanza kung'amua kuwa walikuwa wanajiongopea kuhusu Tz.Even us in TZ we build those buses wala haturingi kama nyie.
waanze kufikiria mabasi ya double decker!Ingizo jipya la Luxury Dar-Mbeya inaitwa CAG Travel Coach 👇
Unajua wewe ni mpumbavu sana, unapenda kuji console na kukataa ukweli na kwa bahati mbaya nyie wakundustan hampo kama sisi Watz hamkosoani kutokana na ujinga wa kuzaliwa mlionao, sasa kampuni ku invest kwenye kampuni nyingine ni jambo la ajabu? Ndio maana nakuita mnuka mavi.
Hapo Habari mbili muhimu
Pigo la kufungia mwaka, BRT itaisha soon than expected, itabaki phase 6 tu. Then wanaamia Kigamboni. The plan was by 2030 the whole of Dar iwe connected na BRT but kwa hii speed ya Samia I can see it happens before due date. Jiji litakimbia nawaambia, tuwaache hao wapaka lipstic kwa barabara waendelee kulipa tolly kufika taoo😂😂
Barabara ya njia 4 ukikamilika bila Shaka yatakuja.waanze kufikiria mabasi ya double decker!
Uyo jamaa ni fukara hakuna mfano.[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kumbe simu yako unatumia nayo ni 3G [emoji1787][emoji1787][emoji1787] no wonder ushamba umekuzidi
Kiwanda cha kutengeneza japo baiskeli kiko wapi alafu ndio utuoneshe cha kutengeneza mabasi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Basi zenu 80% Kenyan and remaining 20% are from China.
Hizi ni T-Shirts ngapi?
View attachment 2461548