Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Siku Kenya wakiweza kuwa na kitu kama hiki. Nahama Africa

E5Rs-SnWEAAP5q9
 
Kunyaland bwana huwa mnachekesha Sana 😂😂.

Mbamba Bay Town-Nyasa DCView attachment 2459756View attachment 2459757View attachment 2459758View attachment 2459759View attachment 2459760View attachment 2459761View attachment 2459762 This is not a City but is much more green than Nairobery,Ni Kati ya Miji yetu mingi ambayo Ni green Kama Arusha,Mbeya,Babati,Dar nk..
Watu kama wewe ni wa kupuuzwa tu. Ushakosa jibu kutoka Dar ukaona ujifariji na vituko vya vijijini
 
Mbona unataka kuanza vita yenye hata wenzako walishindwa na kusali amri mwishowe wakaja na visingizio eti malls sio culture ya watanzania? Kwamba nyinyi hununua vitu kwa maduka?
Kwahiyo issue ya Bridges and Buses umenyosha mkono tuanze malls?
 
Mbona unataka kuanza vita yenye hata wenzako walishindwa na kusali amri mwishowe wakaja na visingizio eti malls sio culture ya watanzania? Kwamba nyinyi hununua vitu kwa maduka?
Na hata kwa markets pia tumewagonga. There's no sector of retail Tanzania is ahead of Kenya.
 
Back
Top Bottom