Render is facing north while actual building is facing south 😂🤣Sasa unachouliza kuhusu train kupanda juu ni kipi wakati tayari kuna floor ya chini kwenye jengo kabla ya boarding platform?
SAI PHARMACEUTICALS LIMITEDRender is facing north while actual building is facing south 😂🤣
Who's facing south? Cameraman or building? Wewe utakua umemeza dawa za maiti huko kazini kwako!Render is facing north while actual building is facing south 😂🤣
Actual building na render zinatofautiana kama usiku na mchana. That's the meaning of north and south 😂🤣Who's facing south? Cameraman or building? Wewe utakua umemeza dawa za maiti huko kazini kwako!
Quay length ya three lamu berths is longer than ya entire Dar is slum port.Kundustan walijenga berth tatu Lamu wakapiga kelele dunia nzima ikaskia! Sasa hivi kitu kimegoma wakati GOT inapanua bandari tatu kwa mpigo kimyakimya!
Actual building na render zinatofautiana kama usiku na mchana. That's the meaning of north and south 😂🤣
Old diesel engine mitungi ya chang'aa not SGR[emoji13][emoji13][emoji13]Mbona ituume? Our SGR is functional, yenu hata hamjui itaanza kazi lini[emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787]Mturuki aliwadanganya ati atawajengea terminal yenye train inapita ndani alafu mwishoe wakajengewa kama za Pugu na Shoga[emoji23][emoji1787]
Unatafuta pakuhemea 🤣🤣🤣🤣 The best 007 amekuja huyu
Are you crazy or something.?Quay length ya three lamu berths is longer than ya entire Dar is slum port.
Yamekushinda kubali yaishe na uache kukurupuka, kwa nyuma jengo linazibwa hivi FYIActual building na render zinatofautiana kama usiku na mchana. That's the meaning of north and south 😂🤣
Prof. PLO Lumumba once said, and I quote "THOSE WITH POWER HAVE NO IDEAS WHILE THOSE WITH IDEAS HAVE NO POWER". That is the answer to your question if you digest PLO Lumumba's Statement deeply!Mimi nilipenda kuelimishwa faida za uchumi wa kununua bidhaa za wengine bila kuzalisha sisi wenyewe.
Tuchukulie biashara ya mitumba, ilipoanza kipindi kile cha Mwinyi, wachuuzi wengi walifaidika sana (ajira). Kadhalika wafanyabiashara wa maduka ya jumla na reja reja pamoja na watu wachache wanaowazunguka walinufaika (ajira). Kwa upande mwingine, zao la pamba lilikufa kibudu.
Wakati wa Mwalimu watu walivaa nguo za pamba za kushona. Hapa kulikuwa na ajira kubwa sana ya mafundi cherehani (nchi nzima), hasa kipindi cha siku kuu. Kulikuwa na maduka mengi ya kuuza vitambaa (ajira), vilivyotengenezwa kwenye viwanda vya Tanzania kama Urafiki (ajira). Viwanda hivi vilinunua pamba kutoka kwa wakulima wa Tanzania (ajira), wakulima hawa walinunua pembejeo kutoka viwanda vya Tanzania kama ZZK (ajira). Ukiangalia mlolongo huo utaona wanaonufaika walikuwa wengi sana.
Sasa naomba kuelimishwa faida za uchumi wa uchuuzi kwa taifa ni zipi?
Kwani SGR ni train ama railway? Mbona watanzania ni wajinga hivi?Old diesel engine mitungi ya chang'aa not SGR[emoji13][emoji13][emoji13]
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Hizo vitu mbili havifanani?Yamekushinda kubali yaishe na uache kukurupuka, kwa nyuma jengo linazibwa hivi FYI View attachment 2458105
Dar is handling 17M per year.Are you crazy or something.?
Ebu jiulize mbona muntafuta another contractor instead of running it yourselves? Unajua hapo kwa container handling ndio kazi kubwa iko.Sasa TICTS walikuwa wana run only container terminal ya Dar amabyo ni birth 8 to 11 , berth 12 ni oil na Berth 0 ni roro, So TPA itazichukua 8 to 11 na vifaa vyake
Hio ya juu muonekano wa nje nadhan ni cladding.. yan wataweka machuma machuma ya kuform structure nyingine ili jengo liwe na muonekano mwingine kama hiyo ya render.Yamekushinda kubali yaishe na uache kukurupuka, kwa nyuma jengo linazibwa hivi FYI View attachment 2458105