Sama boy 255
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 13,804
- 41,710
Cranes za TICTS zilikua ngapi so far.?Si eti hamkua na STS cranes, mlikua nazo lakini zilikua chache compared to what Mombasa port has. Zilikua zinamilikiwa na TICTS ambao walikua wanarun 80% of port operations hadi contract yao ikaisha. TPA hawakua wanamiliki any STS cranes ndio wamenunua juzi tu. Dar port imehandle 17 million tonnes pekee according to recent data.
Na according to 2021 data dar imehudumia 19.3 tons weka akilini hio usije shangaa 2022 tukafika 21m or 22m tons usije sema sikakwambia 🤣🤣🤣 na hapo hapo ukumbuke kua mwiba wa mombasa port ni dar port na hakuna nyingineSi eti hamkua na STS cranes, mlikua nazo lakini zilikua chache compared to what Mombasa port has. Zilikua zinamilikiwa na TICTS ambao walikua wanarun 80% of port operations hadi contract yao ikaisha. TPA hawakua wanamiliki any STS cranes ndio wamenunua juzi tu. Dar port imehandle 17 million tonnes pekee according to recent data.
TICTS walikua wanakomboa crane kutoka hyundai nani alikudanganya ni zenu. 🤣 🤣 🤣 Mkona STS crane mbili pekee hapo Dar Port.Crane mbili? Wakati TPA imechukua za TICTS na hizi ni za berth mpya!
Na according to 2021 data dar imehudumia 19.3 tons weka akilini hio usije shangaa 2022 tukafika 21m or 22m tons usije sema sikakwambia 🤣🤣🤣 na hapo hapo ukumbuke kua mwiba wa mombasa port ni dar port na hakuna nyingine
Sijui tafuta picha uhesabu.Cranes za TICTS zilikua ngapi so far.?
Kama kawaida kutoka Kundustan Republic.
KWA HIO HAYO NDO MAPIGANO?Hizo miaka zote Kagame alikataa kutoa rebels wake Congo lakini after ameona KDF kwa ground aka surrender bila hata kufyatua risasi moja, amejua shit is real. Kwa ground mambo ni different, na ni KDF leading the EACRF ndio wako kwa ground. Your Kagame and his rebels are cowards.
General Nyagah hapo Goma yeye ndio kusema wengine wanatii.
Ona mtu wako wa RDF vile anaskia vibaya. 🤣 🤣 🤣
HATA SISI PICHA TUNAZO, NDIO KDF WAPO KENYA ,Huyo ni keyboard warrior wa Youtube and M23 sympathizer kwa ground KDF ndio kusema.
Na mimi Naunga mkono, milima yote nchini iwe hifadhiNaunga mkono hoja! Itangazwe hifadhi!
Kama pesa zinapatikana wajenge hata awamu zote kwa mpigo, tumalizane na dar tuhamie mikoa mingineDuh zinajengwa pamoja phase 3 and 4!! Noma [emoji7][emoji1241][emoji91][emoji91][emoji91][emoji117][emoji1139][emoji117][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90]
Nyoko wewe Kunyaland nzima haina terminal treni inaingia ndani!Eti hii ndo your 2nd best sgr terminal, hii hata haiifikii ya emali huku
TPA walikuwa nazo mbili hizo za kwenye clip ni za just recent completed berth 7!Si eti hamkua na STS cranes, mlikua nazo lakini zilikua chache compared to what Mombasa port has. Zilikua zinamilikiwa na TICTS ambao walikua wanarun 80% of port operations hadi contract yao ikaisha. TPA hawakua wanamiliki any STS cranes ndio wamenunua juzi tu. Dar port imehandle 17 million tonnes pekee according to recent data.
Source by who??? Yani mpaka nimecheka🤣🤣🤣
Wewe utakana hadi mamako.Source by who??? Yani mpaka nimecheka🤣🤣🤣
Mbn unaongea kwa uoga, content co ukubwa kama ukubwa ningeongelea ya Dar bali content ni hii [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Eti hii ndo your 2nd best sgr terminal, hii hata haiifikii ya emali huku
Mwiba mwingine wa mombasa port 🤣🤣The current condition of Tanga port so far 👇View attachment 2457953View attachment 2457954View attachment 2457955
Duuhh kumbe tumetoka mbali hivi? Magufuli akasema nitaujenga. Wakundustan mmesikia? Mkiona unawakera sn huu mji muuvunje [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]The best 007 unajua hu mji ulianza kama hadithi tu wanga wakasema haiwezekani but yo hii Hapa ni historia fupi tu ya Magufuli city ..mawazo yalitupeleka hapa[emoji116]View attachment 2457898wakatucheka sana [emoji1787][emoji1787] but yo sisi sio wao tukafika huku bhana [emoji116]View attachment 2457900View attachment 2457901View attachment 2457903View attachment 2457904View attachment 2457906.. we unadhani watapenda akina Don YF na Teargass. Mkitaka muje muuvunje huu mji maanina zenu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]