Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hii station imewauma sn wakundustan kabla hata iishe [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Wakundustan nawakumbusha tuuu hii ndiyo ile station funga kazi, nafikiri mshanielewa, alafu cku hz nishajua kiboko yenu ni hii station funga kazi, kwamba joka litaingia ndani ya station [emoji579] [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kundustan Republic ukiwawekea issue za SGR wanakula kona. Walichobaki kutuonesha ni kile kibarabara chao kimoja tu


Sasa hizi ni ndani ya behewa daraja la tatu. (bado II, bado I)


 
Biashara inataka creativity, monopoly haiwezi kuza biashara. Zikizalishwa nguo quality watu watakimbia kwenye mtumba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakundustan bado wanajiuliza hapa treni itapita pitaje hapa, tunawaambia sisi ndio wababe wa hizi kazi, hakuna nchi inatukaribia kwa kuwa na modern infrastructures hapa East and Central Africa sasa tulieni muone yale mnayoyaonaga kwenye Tv mtakuwa mnakuja kuyaona hapa [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kayataka mwenyewe mpe spana, mana ulitaka uache kuwaaibisha sasa kataka, tupe utamu, anafikiri unatania hajui kama wabongo tunapesa ya kutembea[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Barabara hazina njia za watembea kwa miguu,hazina mitaro,mabanda huku na huku nyumba za ghorofa hazina viwango ndio maana zinaanguka kila siku.
 
Barabara hazina njia za watembea kwa miguu,hazina mitaro,mabanda huku na huku nyumba za ghorofa hazina viwango ndio maana zinaanguka kila siku.
Hawa hawana adabu mkuu uliamua kukausha lkn ona alivyokutusi na anajua kabisa kuna uharo kushoto kulia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…