International Community wameshinda Congo under MONUSCO na hakuna much progress walileta Congo. KDF pekee ndio wamesalimisha M23 amri na wakaondoka kama waoga. π€£ π€£ π€£ Kagame amejua super power wa EAC ni nani.πππππ HAKUNA MAPIGANO YOYOTE KULE ,
ISSUE NI PRESSURE FROM INTERNATIONAL COMMUNITY HASA REPORT ILIYOTOKA JUZI MAANA IMEONEKANA MPAKA DRONE INAONYESHA ASKARI WA RWANDA WANAVUKA BODA YA RWANDA NA CONGO. NA USHAHIDI WA KUTOSHA , ISITOSHE NA KUUWA WATU ZAUDI YA 200+ ENEO LA KISHISHE.
SIJUI UNAJUA HILO MKUU.
Wala usikasilike watu wote wanajua kuwa kwenu unaBarKwaNYUMAInternational Community wameshinda Congo under MONUSCO na hakuna much progress walileta Congo. KDF pekee ndio wamesalimisha M23 amri na wakaondoka kama waoga. π€£ π€£ π€£ Kagame amejua super power wa EAC ni nani.
Kwa hiyo viwanja vya maonesho ya saba saba vitakuwa 'kushneh?
Uchumi wa mahoteli vs wa viwanda, kwa maoni yako upi wa kuegemea zaidi?Vinaboreshwa kaka, plan ya kuviboresha niliisikia miaka kadhaa, ilikuwa wajenge trade shows facilities za kisasa pamoja na 4 star hotel. 2017 TANTRADE wakaileta kwa JPM aibariki akawapiga bit balaa, akawaambia jengeni viwanda haya mahoteli hoteli sitaki kusikiaπ π
Nafikiri JPM hakuangalia kwa upana wake, yeye aliona hotel tu. TANTRADE wanatakiwa kuboresha yale mabanda na kufanya Dar es Salaam kuwa jiji la kibiashara kwelikweli kwa kuvutia trade shows kubwa kubwa kama unazoona huko Dubai na kwingineko. Huwezi kufanya hayo kwenye yale mabanda ya karne ya 19.Uchumi wa mahoteli vs wa viwanda, kwa maoni yako upi wa kuegemea zaidi?
From Kundustan Republic π π πUtasema kondoo wamebebwaπ€£π€£
View attachment 2457473
Shida hapo ni intergration, kwa mfano ukiweka straight tunnel nyerere road, je basi la BRT litawezaje kukunja kwenda mandela road kwa mfano itakaka kwenda mbagala au ubungo, ilibidi plan iwepo tangu flyover ilivyoazwa jengwa way backWacha kuchanganya mambo pale tunnel inayohitajika ni ya BRT inayopita lane mbili za kati Nyerere Road ili kuepusha BRT phase III ku-block magari yanayopita na yanayotoka na kuingia Mandela Road. Idea ni nzuri ila sijui kama Mbarawa ana uthubutu!
Kama huzalishi bidhaa utaonesha nini kwenye trade shows?Nafikiri JPM hakuangalia kwa upana wake, yeye aliona hotel tu. TANTRADE wanatakiwa kuboresha yale mabanda na kufanya Dar es Salaam kuwa jiji la kibiashara kwelikweli kwa kuvutia trade shows kubwa kubwa kama unazoona huko Dubai na kwingineko. Huwezi kufanya hayo kwenye yale mabanda ya karne ya 19.
BTW kazi ya TANTRADE ni kupromote biashara na sio kuendesha viwanda.
Basi tuyaache hivyo hivyo tuendelee kwenda kununua mabeseni kila 77 ikifika.Kama huzalishi bidhaa utaonesha nini kwenye trade shows?
Yani wewe bongolala unaumwa January to December πNaomba plate number plz ukipata nitag najua hio ni IT π€£π€£π€£π€£π€£
Wewe kijana kutoka Kundustan Republic, lini Ruto ataikomboa ardhi yenu toka mikononi mwa Kenyatta elite?Yani wewe bongolala unaumwa January to December π
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji119]Ambazo hazina fedha!
Mimi nilipenda kuelimishwa faida za uchumi wa kununua bidhaa za wengine bila kuzalisha sisi wenyewe.Basi tuyaache hivyo hivyo tuendelee kwenda kununua mabeseni kila 77 ikifika.
Hii station inawauma hii wee acha tu.