Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwani ni taarifa ngapi zinatumwa humu ndani za mataifa mbalimbali Mbona unasumbuka sana na iyo taarifa ya Ghana?
 
La haula wala kuwata ila billah 🀣🀣🀣🀣🀣 bro naona kwa leo inatosha nenda upuzike
 
La haula wala kuwata ila billah 🀣🀣🀣🀣🀣 bro naona kwa leo inatosha nenda upuzike
Tanzania mtasubiri miaka zaidi ya mia hamtafikia level ya Kenya kwa hiki kizazi chenu.., usijitekenye, sawa mkuu nimeenda zangu, Mombasa dawa πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚

Nje ya Mombasa CBD, inland., kule mitaaniπŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯ pumzika dogo.., hautaweza ni tamthlia utaandika humu bila evidenceπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚


 
Unaweka uchafu humu. Leta vitu new. Kujaza uchafu humu haiondoi uhalisia wenu.
Uko na jibu ama bado?.., potelea mbali kilaza., 😝 😝 πŸ”₯ πŸ”₯ πŸ”₯ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ’ͺ πŸ’ͺ
 
Uko na jibu ama bado?.., potelea mbali kilaza., 😝 😝 πŸ”₯ πŸ”₯ πŸ”₯ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ’ͺ πŸ’ͺ
Leta Water Sports tuone au huna!?

Bring Water Sports or there is none in Kenya!?
 
Ishaiwin award gani of being the best? JKIA is winning awards every year ahead of that Mabati rolling mills πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Alafu utasikia mtu yupo busy anataja Mombasa na Mwanza kwenye sentensi moja. Uchizi wa hali ya juu!
 
Asante sana kwa kunifurahisha ama kweli siku ya leo nimefurah sana 🀣🀣🀣🀣🀣 hii ni utumbo gani bro Bamburi mtambo 🀣🀣🀣🀣🀣 nimecheka sana yani hata access ya road sioni naona vichekesho tu bro wallah leo nimecheka sana but thanks
 
Busy for nothing, hawa wanadhani Airport inabidi iwe congested ndio ionekane inafanya kazi, wanasahau sisi hatutegemei Airport moja kama wao, tuna Karume iko busy mpaka imeipita JNIA, tuna KIA iko busy na nusu. Hatuna congested Airport sisi.
JNIA 1,500,000 passengers in 2021
KIM 500,000 passengers in 2021
 
Utateseka ukianza kushugulika na mimi. My leave started on 21st Dec,2022 young man hadi kesho 24th Dec, 2022. From 24th hadi 8th Jan, 2023 the company is closed for Christmas. So expect more of my presence here hadi 8thπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…