Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Dude...that's my route. I posted Uhasibu few days ago. Tazara, Uhasibu,Chang'ombe all same design. Though Chang'ombe isn't fully operational
You posted the lower road. Not the flyover.
 
Ameona a mere traffic ya watu on a specific day anadhani ndio definition ya busy..,,ata top 15 Africa hiyo banda la kuku haiwezi ingia, it is a village airstrip [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Umeongea kwa uchungu sanaaa na ukijiendekeza utazeeka mapema [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Na mimi ninawaza kama wewe, tungeenda taratibu huku tunaangalia hii miradi kama inalipa
 
Ghana per capita mwaka 2021 inasoma $2445
Vitu vingine hua hazihitaji kubishabisha unapoteza wakatiView attachment 2454690View attachment 2454691
Yani kumbe ulisema mghana ana maisha mazuri kuliko mtz kwasabu ya makaratasi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Usisahau na population difference, pia nikuambie tu ile cku Ghana itakuwa vzr kuliko Tz ndio cku najivua uraia rasmi naenda kuchukua wa Somalia [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hizi data zako kutoka MS Word!! Unajichosha kwa kweli.
Pingana na Tanzania Aviation Authority 🤣🤣😂🤣


In 2021 JNIA received only 1.5M passengers 🤣🤣😂

Mwanza your second city did less than 300k passengers in a year 😂😂

Arusha na Dodoma nazo hata sieziongelea😂😂
 
Makaratasi yasipoku favor unaumia sana pole
 
Jipige kifua na useme wakenya ni wapumbavu. Sasa uhusiano wa Data zako na hizi wapi na wapi?
 
Hapendi ukweli huyo mwehu, mie namjua vizuri [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Yani kwasababu yeye anaishi vizuri basi anadhani watz wnamaisha mazuri [emoji2][emoji2][emoji2]
Kuna watu kibao wanaishi maisha mabovu sana hawezi jua maana mambo yake mazuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…