Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sawa nimeiona hiyo expressway [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Tofauti yake ni kwamba moja ni very classic na inakaa Europe nyingine ni typical African infrastructure.
 
Duuhhh hii picha huwa hamuipost bonge la shuzi[emoji116][emoji116][emoji119][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2454672
Usiharibu maana ya neno "bonge la Ushuzi".., litumie sehemu linalo faa, yaani the second picture., angalia kwa maakini usipotee njia tena mjukuu ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚

 
Yani wewe ndo bonge la kilaza! Bado tu unang'ang'ania ujinga na ushamba!

Tell me what's the use of the local news bureau! Serious news outlets have correspondents in almost all places in a country or internationally. If there is local news then there is their guy on the ground to cover it! Hivi hili nalo ni jambo la kifundishwa? Haya Millard Ayo ana team yake nchi nzima kwa ajili ya kupata habari.

Habu kamuulize Larry maduwo akufundishe. Maana wakenya mliokuwa humu sijui hata kama hiyo std 8 mlimaliza. Alu mlivuta sana zile gums zenu??
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]akafe uko
 
Narudia tena na zaidi, wewe ni boya.., no news outlet has 100% coverage of an area, even CNN wako na chopper.., having a bureau in Mombasa or Busia county kwa mfano does not mean the reporters there are omnipresent, yaani are all over the place at the same time, chopper helps to beat even traffic jam, wacha kutetea ushamba wako kisa hamna media house with a chopper in Tz, fyata kabisa..,
 
Watakuambia JNIA Iko busy alafu report ya end year ikitoka utapata it only handled 1.5M passengers full year๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ๐Ÿ˜‚
Ameona a mere traffic ya watu on a specific day anadhani ndio definition ya busy..,,ata top 15 Africa hiyo banda la kuku haiwezi ingia, it is a village airstrip ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ