The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,667
- 98,999
Nmewaomba wanitajie coverage ya Citizen tv wameishia kuongea utumbo tu ulioambatana na wivu. Mtu na akili zako unawezaje kushindanisha local tv vs global tv, utakuwa kichaa.Kitu ambacho hujasema na hautasema ni kwamba Azam TV inaenda Afrika nzima na Citizen TV imeishia Kenya, hata ukiangalia kwenye other super brand businesses, Toyota ina followers wengi na matangazo mengi kuliko Ferrari. [emoji28][emoji28]
Sasa hiyo Citizen ukubwa wake uko wapi. Nimekutaka ulete facilities zake naona unabwabwaja. Mambo yenu ya ukabila sisi hatuyataki.Nimesema ni ya Mwarabu, sijasema ni kubwa kuliko Citizen. Kuelewa kwako ndio shida. Hapo Tz mmejaa ukabila ni kuficha mnaficha otherwise Waarabu na Wahindi hawangekuwa wanammiliki jinsi wanavyommiliki.
Unapigania mali ya Mwarabu hivi?Sasa hiyo Citizen ukubwa wake uko wapi. Nimekutaka ulete facilities zake naona unabwabwaja. Mambo yenu ya ukabila sisi hatuyataki.
Basi ndio facilities?Onesha facilities za Zuku
Leta kitu kama hiki
Akili za mtanzania 😂😂😂Basi ndio facilities?
Mzee naona unaanza kuhamisha magori. Sasa hivi tunaanza kuongelea warabu na wakenya. Umeshindwa kuleta facilities za Citizen. Kwahiyo Citizen tv is a shithole.Unapigania mali ya Mwarabu hivi?
Basi ya Mwarabu ndio facilities?Mzee naona unaanza kuhamisha magori. Sasa hivi tunaanza kuongelea warabu na wakenya. Umeshindwa kuleta facilities za Citizen. Kwahiyo Citizen tv is a shithole.
Nenda umuongopee babaako [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wewe jf huwezi hama ata siku moja.., uta change ID, sio mara ya kwanza, nawajua, ukubali ukatae fact remains boya [emoji23]
View attachment 2454111
Kwani Citizen watawezaje kubroadcast bila facilities?😂😂😂Mzee naona unaanza kuhamisha magori. Sasa hivi tunaanza kuongelea warabu na wakenya. Umeshindwa kuleta facilities za Citizen. Kwahiyo Citizen tv is a shithole.
Basi ni nini unajua maana ya facilities?Basi ndio facilities?
Tena sio 6km?🤣🤣🤣😂Nenda umuongopee babaako [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2454246
Obama wa bongo ndio nani huyo mkuu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wapo wengi tu ambao kama hawapo ukiongezea akina Juma Aweso, Jafo, Simbachawene.. wanaosikika au kuonekana sana ni Mwigulu, Dr Tax, Bashungwa (kaanza kupotea, kapelekwa jeshin), Bashe, Prof Mbarawa, Nape na Obama wa Bongo
Facilities za kishamba na za kizamani. Tunaongelea modern technologies and equipment.Kwani Citizen watawezaje kubroadcast bila facilities?😂😂😂
Basi ndio modern technology?Facilities za kishamba na za kizamani. Tunaongelea modern technologies and equipment.
Ndiyo kilichobaki hiki, bora ujitetee ki style hii kuliko kuendelea kulinganisha local vs Global.Ila hiyo Azam ni ya Mwarabu, Citizen ni ya Mkenya mweusi.
Unajua maana ya technology. Nyie washamba kutoka kenya leo nataka kuwafundisha lughaBasi ndio modern technology?
Ukiwa na network nzuri huitaji kuzunguka all over na libasi likubwa nimebeba satelittes. You only need a journalist, a microphone, aand a camera. Huko kwenu hamna network ndio maana mnajisumbua na mabasi mkizungukazunguka. Hayo tuliyafanya enzi zile kabla tudevelop good transmission ifrastructure kama hii hapa ya early 90s.Basi ni nini unajua maana ya facilities?
Unataka nianze kukufundisha kingereza tena?
View attachment 2454247
Sasa KBC imekuwa Citizen tena. 😀 😀 😀 😀 Mama yanguUkiwa na network nzuri huitaji kuzunguka all over na libasi likubwa nimebeba satelittes. You only need a journalist, a microphone, aand a camera. Huko kwenu hamna network ndio maana mnajisumbua na mabasi mkizungukazunguka. Hayo tuliyafanya enzi zile kabla tudevelop good transmission ifrastructure kama hii hapa ya early 90s.
Kuzunguka na basi ndio kizamani, sikuhizi technologia ipo bwana huitaji basi imejazwa masatelitte to do simple reporting.Facilities za kishamba na za kizamani. Tunaongelea modern technologies and equipment.