Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hii ngozi inaashilia kutaabika na kuteseka kwa mkundustan mmoja. Na kunaviashiria kadhaa vinaonyesha yeye ni jobles. Mchana anapigika na jua usiku kunguni wa kibera.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
 
Many people? How many people! Our policy on COVID was the best one and the most successful!

We had the least death EA and the least negative impact on the economy.

ukweli ndo huo roho zinawauma tu kama kawaida yetu! Tovu litawatoka sana. Na bado!!
Are you talking about prayer na kujifukiza as the best policies? I remember muombe ma mjifukize na miti shamba. A whole nation can't be this stupid!

Secondly, how could you know the number of deaths when your own government refused to provide updates on the pandemic?
 
Gezaulole kupitia huu uzi amewahi kumshauri Magufuli kuhusu kumbana yule mkenya aliyetakiwa kuja kuwa CEO kwenye kampuni fulani hapa bongo na ikawa hivyo, so kupitia huu uzi wameona na watalifanyia kazi.
Eti Geza Ulole alishauri Magufuli?😂😂😂😂😂😂😂😂😂
You are losing your mind at an alarming speed!
 
Yeye anafikiri ukubwa wa media house ni umiliki wa magari makubwa
Shuka chini utaona kichapo alichopigwa mwenzako, natumai hutoingilia damu zisije kukurukia [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hao maelfu waliokufa kwa corona walikuwa wanaishi mawinguni tusiwaone au?
 
Keshapigwa sindano mkuu na hakurudi tena [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Umemaliza ubishi, tatizo la wakundustan wameongopewa mno, sasa Azam ya kufananisha na Tv ya vichekesho kama Citizen? Anaijua nani hyo Citizen hapa EA.
Let's see who is more popular between that your Azam and Citizen.

Twitter followers.

Citizen 4.9M, Azam 1M




Facebook.
Citizen 6.2M followers, Azam 2.2M followers.




Instagram
Citizen 1.8M followers, Azam 3.7M followers.


YouTube subscribers

Citizen 3.9M
Azam 2.2M



So total followers are as below.

Citizen is 4.9+6.2+1.8+3.9=16.8M followers
Azam is 1+2.2+3.7+2.2=9.1M followers.
 
Citizen Tv Iko na followers wengi kuliko Azam Tv.
Onesha tuone mbn mwenzio kaonesha tumeona [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mimi hasira zako usiniletee. Citizen Tv pekee has 16.8M followers while Azam Iko na only 9.1M followers on social media 😂😂🤣😂
 
Ukubwa wa media house inaashiriwa na vitu kadhaa na baadhi yao ni haya:
1. Idadi ya wafanyikazi
2. Businesses and operations
3. Total revenues
4. Number of mainstream media outlets it has...etc etc

Kwa hayo mambo machache niliyotaja ni kipi Azam inazidia Royal Media Services?
 
Tupe coverage ya Citizen tv tulinganishe.
 
Onesha tuone mbn mwenzio kaonesha tumeona [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Soja wewe huna akili tulia 😂😂

YouTube subscribers, Citizen Tv 3.93M, Azam 2.24M
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…