President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,634
- 94,237
Pwahahahaha. Show us facilities za Citizen Tv. Mbona kitu simple sana.Come back to me the day Azam Tv itafika Citizen. Hadi rais wenu anatazama Citizen yet you are here making noise 🤣🤣😂🤣
Ndio maana nasema viongozi wetu wamelalaHiyo Meli ya Uganda haiezikuja Mwanza sababu bado hamna oil jetty. It's a very special ship specifically made for transportating liquid and gas substances. Sio kama zile zetu na zenu.
Azam TV inapambana na DSTV. Siyi takataka kama Citzen TVCome back to me the day Azam Tv itafika Citizen. Hadi rais wenu anatazama Citizen yet you are here making noise 🤣🤣😂🤣
KwikwikwikwiRoyal Media (Citizen) ndio the biggest broadcasting company in East Africa.
Wakenya wananuna.
Kujeni Mama Ngina Waterfront Mombasa mufanye benchmarkingHivi inashindikana nini pale water front ya Obama Drive kufanya kitu kama hiki? Ukicheck its just halfway ya kilichopo, kwani face lift ya namna hii sh ngapi? Hapa ni Equatorial Guine. View attachment 2453832
Many people died of covid for failing to take precautions because the government told them there was no covid in Tanzania. That's my pointGovernment killed them? Serikali iliwanyima dawa za covid?
Yeye anafikiri ukubwa wa media house ni umiliki wa magari makubwaSasa hii trailer ndio inafanya unataka kulinganisha CITIZEN na AZAM?😂😂🤣😂 Apart from Azam Tv what other broadcasting network do they have?
Royal media have
1. Citizen Tv
2. Ramogi Tv
3. Inooro Tv
They have radio stations
1. Radio Citizen
2. Ramogi FM
3. Inooro FM
4. Musyi FM
5. Chamgei FM
6. Muuga FM
7. Chamgei FM
8. Bahari FM
9. Egesa FM
10. Hot 96
11. Milembe FM
12. Vuka FM
13. Sulwe FM
14. Magalata FM
15. Wimwaro FM
Usisahau pia, Azam tv wana uwezo wa kuonesha mechi 8 live kwa wakati mmoja.
Tanzania walikufa wangapi tukifananisha na kundustan walichukua precautions.Many people died of covid for failing to take precautions because the government told them there was no covid in Tanzania. That's my point
Nilichoandika kuhusu Ghana kipo humu ndani na sio kama unavyodaiSi ulisemaga Ghana imeacha Tanzania mbali sana
Jamaa wanamadeni ya kufa raia[emoji40]Sababu mpaka nchi iitwe imefilisika sio kazi ndogo [emoji28][emoji28][emoji28]
Utajuaje idadi ya waliokufa wakati serikali yenu ilikuwa ikibania taarifa za covid? Sisi idadi ya waliokufa inajulikana kwa sababu kila kitu kiliwekwa wazi na waziri wetu alikuwa akitoa taarifa hizo wazi kwa vyombo vya habari. On the other hand nyinyi taarifa hizo mlizibania hadi WHO even asked your government to give covid updatesTanzania walikufa wangapi tukifananisha na kundustan walichukua precautions.
I am officially giving you the title of Kenya's greatest clown! You are such a fool!Sasa hii trailer ndio inafanya unataka kulinganisha CITIZEN na AZAM?[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji23] Apart from Azam Tv what other broadcasting network do they have?
Royal media have
1. Citizen Tv
2. Ramogi Tv
3. Inooro Tv
They have radio stations
1. Radio Citizen
2. Ramogi FM
3. Inooro FM
4. Musyi FM
5. Chamgei FM
6. Muuga FM
7. Chamgei FM
8. Bahari FM
9. Egesa FM
10. Hot 96
11. Milembe FM
12. Vuka FM
13. Sulwe FM
14. Magalata FM
15. Wimwaro FM
Mattercore yako!!Come back to me the day Azam Tv itafika Citizen. Hadi rais wenu anatazama Citizen yet you are here making noise [emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji1787]
Many people? How many people! Our policy on COVID was the best one and the most successful!Many people died of covid for failing to take precautions because the government told them there was no covid in Tanzania. That's my point
Kupitia huu uzi wanaona na watafanya hivyo, yamefanyika mengi kupitia humu.Hivi inashindikana nini pale water front ya Obama Drive kufanya kitu kama hiki? Ukicheck its just halfway ya kilichopo, kwani face lift ya namna hii sh ngapi? Hapa ni Equatorial Guine. View attachment 2453832
Gezaulole kupitia JF amewahi kumshauri Magufuli kuhusu kumbana yule mkenya aliyetakiwa kuja kuwa CEO kwenye kampuni fulani hapa bongo na ikawa hivyo, so kupitia huu uzi wameona na watalifanyia kazi.Me mwenyewe nashindwa kuelewa,tuna viongozi, wazembe na sio wabunifu kabisa..