Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ebu nionyeshe picha za flyovers Tatu tu pekee from Tanzania nikucheke kidogo😂😂
 
Ile siku utaniletea uthibitisho kwamba expressway ya mchina ina elevated section ya 11km ndio siku naondoka jamiiforums, hv nyie uongo unawasaidia nn? Kwn ukiishi kwenye zone yako utapata shida gn?
 
Hapo kanavyosema "due to our high demand of electricity" utadhani labda wana demand kubwa kama China au US kumbe MW wanazozalisha hata 3000 hazizidi, Wakenya yn sifa wameumbwa nazo wallahi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Nawashangaa sana watu wanaodhan Samia atakuwa Rais baada ya uchaguzi 2025.. niwahakikishieni niko hapahapa .. mda ukifika nitawakumbusha [emoji3]
Kazi yangu itakuwa kusearch 2025 na kuwaletea comments za nyuma
Na iwe hivyo mkuu.
 
Tanzania's Education is trash. No wonder hapa jamii forums kumejaa failures who can not proceed with education ju ukianguka mtihani yako imeisha hivyo.

 
Tanzania's Education is trash. No wonder hapa jamii forums kumejaa failures who can not proceed with education ju ukianguka mtihani yako imeisha hivyo.

Elimu yetu huipati kirahisi rahisi na ndiyo maana unakuta msomi bongo ni msomi kweli sio kama huko kwenu hakuna kufeli mwishowe mnazalisha wezi na wahuni.
 
Swali zuri sana hilo.

Sisi wabongo tunajuana, naelewa baadhi yetu kumchukia Magu lakini nangojea jibu la wakenya.
 
Nimekuambia uweke operational flyovers, sio vitu bado Iko under construction [emoji1787][emoji23][emoji23]. As far as I know Tanzania only have one operational flyover[emoji1787][emoji23][emoji23]
We msenge nn wapi umetaka operational flyovers, onesha sehemu umeandika hivyo.
Fyi, hzo flyovers zote ni operational, unaposhindwa kubali mbwa wewe.
 
Ndio maana wewe ni watchman. [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Watchman mwenye pesa yake mtaani, wewe unamiliki nn zaidi ya itel phone unayotumia kupiga kelele na kupost picha zenye ukungu humu JF, pocket money [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
We msenge nn wapi umetaka operational flyovers, onesha sehemu umeandika hivyo.
Fyi, hzo flyovers zote ni operational, unaposhindwa kubali mbwa wewe.
Kama ziko operational basi umeeka picha za under construction? Tuonyeshe picha zao zikiwa operational 😂😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…