Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Westlands the one of the fastest growing business districts in Africa currently.
Nairobi is the only city in East Africa with an Urban Forest.

Image
Majengo ninayoyaona ni mawili tu ya mchina, mengine ni dwarf buildings zilizokaa kienyeji yani hovyo hovyo, alafu kumbe Westland ni ushuzi hivi
 
Tanzania is home of poverty 😂😂😂
Hivi watu wanaoangaika na chakula ambao wanakufa kwa njaa na wanyama wao nani makini?
Singapore chakula asilimia kubwa wanaimport ila umewahisikia kuna njaa kule?
Mfano hata nchi za kiaarubu kama dubai Qatar, umesikia kuna njaa?
Ila according to wewe kenya is rich country sasa hivyo vitu vinatoka wapo?
 
Nilikuwa nashangaa sana iweje nchi yenye njaa, umaskini uliotapakaa, ufukara wa kutisha, magonjwa ya aibu kama kipindupindu, slums everywhere na ukame izidi Tz? Kumbe walikuwa wanapika data, now everything is open
Screenshot_20221218-132110.jpg
Screenshot_20221218-132530.jpg
 
Data mpya kabisa, na niwaambie tu wakundustan from now onwards ni mwendo wa kuwaweka mkiani tu.
 
Leo nmepita pale Vingunguti wanapojenga underpass nimekuta wameweka ukuta kama ule wa sgr yn pamenoga kichizi, alafu kwa nyuma BRT phase 3 ujenzi unaendelea. Oya wakuu katika maeneo ambayo yatakuwa moto wa kuotea mbali hapa EA basi ni pale wazee, sikupiga picha cz nilikuwa fasta but next time nitapiga picha.
 
East Africa tukiamua tunaweza jamani, kwa hapa Tanzania ime represent vzr EA, so niwaombe na wenzetu wa EA wajitahidi wafike hapa ilipo Tz wasituachie pekeetu tu ni uzembe.
Screenshot_20221218-132110.jpg
 
Hivi watu wanaoangaika na chakula ambao wanakufa kwa njaa na wanyama wao nani makini?
Singapore chakula asilimia kubwa wanaimport ila umewahisikia kuna njaa kule?
Mfano hata nchi za kiaarubu kama dubai Qatar, umesikia kuna njaa?
Ila according to wewe kenya is rich country sasa hivyo vitu vinatoka wapo?
57% of Tanzanians are poor.

Screenshot_20221218-111035.png


Only 37% of Kenya are poor.
Screenshot_20221218-111058.png
 
Back
Top Bottom