Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mpesa ina uhusiano gani na kundustan? Nala ni Tanzania's innovation
Offisi za NALA ziko Kenya na tax wanatulipa. 🤣🤣🤣 Mbona hawakufungua bongo?

Pole usilie najua una maumivu NALA ina operate from Kenya.
Image
 
Wacha porojo, huyu hapa ni mtanzania mwenzako na ameshangaa na cashless economy ya Nairobi.



Nyie Wakenya wajinga sana. Wajinga mno. Hizo ni accounts za vijana wa Chadema na Chadema sio Tanzania bali wajinga kama nyie. Hao huja mpaka huko Nairobi kwenye TV zenu na kuongea ujinga huo.

Anyway, ukitaka comments za kukufurahisha hvi toka kwa Watanzania, fuatilia account zote za menba wa Chadema.
 
Back
Top Bottom