Kenya BRTView attachment 2449874View attachment 2449875View attachment 2449876View attachment 2449877View attachment 2449878
Ila ongereni mabasi mmetengeneza kwenu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji854][emoji854][emoji854]
Sasa wewe unaona akikabiliana na terrorists ama anafanya evacuation?Huyo pembeni baada ya disease ni nani ni black mkenya au?
View attachment 2449842
🤣🤣🤣 Hii huduma ipo kitambo sana Tz mzee wangu .. wakati flani nilivyokua chalii mdogo mama angu alinifunguliaga biashara ndogo, wakati huo nilikua nakodishaga DVDs+Tigopesa &tigo rusha, commission zake (za tigo rusha) jina lingine zilikua tunapita epod, zinalipwa katikati ya mwezi tareh 15 mapema tu. mtaani kwetu nikawa napiga hela 🤣🤣🤣🤣.. basi nyie jamaa moo nyuma yetu sana manzee 🤣🤣🤣Hii ndio unataka kucompare na Pochi la biashara. 🤣 🤣 🤣 Pochi la Biashara is for small scale merchants, usiwe mjinga.
Haya basi mimi sikuwepo west gate ila si mlisaidiwaSasa wewe unaona akikabiliana na terrorists ama anafanya evacuation?
TPDF iko congo zaidi ya miaka 12 likilinda amani,kunyan army lina mwezi na nusu tu ndani ya congo ila hizo mbwembwe zao sasa 😀Labda nikupe history kidogo tanzanian suala la vita ya congo halikuanza leo wala jana na uhuru wao umetokana na jeshi la tanzania sasa leo munaona ajabu kupeleka jeshi congo wakat kwa tanzania ni mambo ya kawaida sana 🤣🤣 yani munachekesha sana
Yes, he helped us do an evacuationHaya basi mimi sikuwepo west gate ila si mlisaidiwa
Dada zenu awaamini walichokikuta mwanza,na hao si watalii ni youtubers sema kibera huko ndio washakua wataliiKile wakenya wanaenda kufanya Tanzania.., touring sio kuomba omba...,
TPDF iko congo zaidi ya miaka 12 likilinda amani,kunyan army lina mwezi na nusu tu ndani ya congo ila hizo mbwembwe zao sasa 😀
huyu tangu apeleke ofisi nairobi na kujiunga na Equity bank nimemuona hana uzalendo!Nala wameweka Matangazo ya Kutosha ndani ya Terminal.
View attachment 2449902
View attachment 2449903
View attachment 2449904
View attachment 2449905
Imagine huu ndo mji mkubwa na mbili nchini kenya...mnaojiita developed [emoji23][emoji23]Matatu za Mwanza jo!.., old school, Tz bana [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Tannzania hatupendi sifa za kijinga cashless payment zipo everywhere, nothing special. Yaani 2022 ujisifie cashless payment hizo huitwa sifa za kijingaKuna kitu inaitwa e-citizen we primary school dropout. Wachana na government bills lipa na mpesa iko hadi kwa vibanda kama zote. Endeni msikie vibaya kwa choo ju nobody uses bongolala as an example for a cashless economy.
Cattle rustlers siku hizi wanaitwa magaidi?West gate ilivyovamiwa walienda Kenya police, KDF , wabritish na magaidi SIDHANI kama walifika 40.
Ila SISI walikuwa zaidi ya 300 mtwara.View attachment 2449895
Na operation ilifanywa na hawa
View attachment 2449896View attachment 2449897View attachment 2449898
Polepole usilie. Enda ukojoe upunguze uchungu.Tannzania hatupendi sifa za kijinga cashless payment zipo everywhere, nothing special. Yaani 2022 ujisifie cashless payment hizo huitwa sifa za kijinga
Sent using Jamii Forums mobile app
VIta ya miaka na miaka wao wana mwezi tu,na sidhani hata kama UN wamewapa chapter 6,JWTZ wakiwa kazini in congoKwa siku chache walipokuwepo kule😁😁😁🙃